Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me napendaga tu vile unaandika kwa kujiamini na kujifanya unajua mengi kumbe ni NGUMBARU kabisaWape moyo Wajinga na Wapumbavu ila hapo tayari mission has been accomplished na najua umeshajua what next. Yeye alijua watakaomfuatilia watakuwa ' Waafrika ' wenzie wakati wenye ' akili ' zao wamempandikizia ' Marafiki ' kibao tena Wazungu na ndiyo wanamaliza Kazi taratibu. Hii ni ya Kwanza na soon watakamilisha ya pili kisha ' tutaheshimiana ' hapa mjini. Ukimya wa yule unayemsumbua, kumuonea na kumdhalilisha huwa unakuwa na majibu yenye ' Kishindo ' Kikali sana na huwezi amini.
Kwa jinsi ninavyokujua najua fika umeshajua what happened na what next juu yake ila humu unawazuga tu Watu wajue upo nao katika ' masikitiko ' kumbe unawasanifu tu.
simuungi mkono ila yupo hewaniMange yupi mnamsemea mbona yupo kajaa tele
Hana lolote Malaya tuYule c mwenzako usimuone na udaku wake
Leo nimeamini Mange anaitikisa Tanzania nzima inazizima dadeki.Dume zima hovyooooo bonge la aibu , Mange nyoko nyoko unabana hadi pia ,kwendraaaaaaaa hamumuwezi Mange hata mkeshe makaburini
hajifanyi mkuu yule ana akili nyingi kufunga account yake sio kufunga kinywa chake wala upeo wake mkuu.overAnajifanya ana akili, mbinu na ujanja wakati kumbe ni mweupe tu mbele ya wanaojua majukumu / kazi zao walizozibobea kisawasawa.
Mbona iko hewani? Au kufutwa ina maana gani kwako. Pia it's easy to have more than one page on one device.Ule mtego shauri yenu,nyie mtumieni tu na hide my ID mtakiona cha mtema kuni.
[emoji32][emoji32][emoji32]......chura ipo au ile sheria unajifanya huijui??Mbona yupo?
imesharudi tayariItarud na kiuzi chako utaona aibu. Mbona una hackiwa mara kadhaa na anarudi
Kuna mda flani ilitoweka mkuu...Mbona mange hajafungiwa yupo?
Uvccm pambaneni ya hali zenu tuachieni da Mange wetu
Hicho kijamaa ni kingumbaru, kinajishupaza utafikiri kinajua kitu hahahaKina nani mkuu waliobobea? Jinga kweli wewe!! Umesoma uandishi wa habari IT wewe ni kilaza so shut up!!!!!!!
karudi...ingekuwa yuko tz insingerudi lakini aliko haichukui saa moja kuirudikishaiPhone 8,Bwana ila nasikia karudi
Utamalizwa wewe na njaa kenge wewe.Huyu wammalize kabisa hafai
Hivi ukisema uongo hivyo ndio unajisikia amani au unalipwa kwa uongo. Kwani ukisema ukweli utapata hasara gani? Mbona akaunti ipo hewani kama kawa na inafanya kazi. Ukweli wake unakuuma au. Ukiona unakuuma fanyia kazi ndio pana tatizo.Amanii eh wakuu account ya mange kimambi haipo tena insta... Ishara zilianza tokea juzi watu walivoanza kusema huyu sio mange baada ya vitu vya ajabu kutokea kwenye ile account hatimae na mchana huu account yake haipo tena instagram sijui dada wa watu atakuwa kapatwa na nini, uthibitisho huu chini
View attachment 610509