Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.
duh pole Mange,

I hope uko fine,

Maisha yako ni ya muhimu aisee,lea wanao.................

Alijiimbia ROMA,kipi bora nife mseme nilikufa kiharakati,siogopi kufa ila nawaachaje wanaobaki???......fikiria maisha yako Mkuu
 
Yani anakera anamuandama mtoto wa mwanamke mwenzie kama kamlia chake!
Nimekuwa nafikiri labda kuna tatizo upstairs, sijui lkn kwani kuna wakati aliamua kumvua nguo mzazi mwenzie na mwisho wa siku ikawa hata yeye alijidhalilisha kabisa bila sababu yoyote ya msingi, kisa HASIRA.
 
Hahahahahah huwezi cheza na Serikali ina mkono mrefu,bye bye Mange Kimambi.Ile simu nokia 8 imekuponza.Nimeamini bora ukose mali kuliko kukosa akili.
Nokia 8 imemponza vipi mkuu.
 
Naona followers wake wanalia hapa eti atafungua nyingine. Tatizo sio kufungua nyingine,tatizo ni kupata followers milion 2 kwa muda mfupi. Maana wale followers wengi aliwavuta kwa kumtukana lowassa kisha,mafufuli,msiba wa ivan,mimba za zari etc
Ndo maana huwa nakupenda japo ni mke wa mtu![emoji1][emoji1][emoji1]
 
Concept ya followers unaifahamu mkuu??....assume ulikuwa na followers million kumi then account yako ikafutwa,unafikiri ukifungua account mpya ni rahisi kuwapata tena hao followers million kumi??!
Unalipwa shilling ngapi kwa kila aliyekufollow?
 
wew tu na akili zako mgando usiyeelewa hata haki zako za kutumia izo social networks unadhani mpka uwe celebrate ndo wanakusikiliza kama vile ajira za kibongo na vimemo account kibao zimerepotiwa na haters na wasiopenda kukosolewa ili zifungiwe lakini zimeachwa mfano mdogo tu ni malisa GJ wa fb
 
1 Hacker Way, Menlo Park, CA 94025
 
Anajifanya ana akili, mbinu na ujanja wakati kumbe ni mweupe tu mbele ya wanaojua majukumu / kazi zao walizozibobea kisawasawa.
Usipende kudanganywa kirahisi,
Mange alivyopewa ile simu aliipeleke apple store wakampa ya rangi nyingine.
Hapo wewe ccm makondaktako na mange nani ana akili?
Hapa unakuja kushangilia eti mange katumiwa simu? Usidhani kama mange ni kiazi kama mlivyo nyinyi.
Soon atacome back.
Na funny enough mange haachagi history kwenye DM yake.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…