Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.
duh pole Mange,

I hope uko fine,

Maisha yako ni ya muhimu aisee,lea wanao.................

Alijiimbia ROMA,kipi bora nife mseme nilikufa kiharakati,siogopi kufa ila nawaachaje wanaobaki???......fikiria maisha yako Mkuu
 
Yani anakera anamuandama mtoto wa mwanamke mwenzie kama kamlia chake!
Nimekuwa nafikiri labda kuna tatizo upstairs, sijui lkn kwani kuna wakati aliamua kumvua nguo mzazi mwenzie na mwisho wa siku ikawa hata yeye alijidhalilisha kabisa bila sababu yoyote ya msingi, kisa HASIRA.
 
Hahahahahah huwezi cheza na Serikali ina mkono mrefu,bye bye Mange Kimambi.Ile simu nokia 8 imekuponza.Nimeamini bora ukose mali kuliko kukosa akili.
Nokia 8 imemponza vipi mkuu.
 
Naona followers wake wanalia hapa eti atafungua nyingine. Tatizo sio kufungua nyingine,tatizo ni kupata followers milion 2 kwa muda mfupi. Maana wale followers wengi aliwavuta kwa kumtukana lowassa kisha,mafufuli,msiba wa ivan,mimba za zari etc
Ndo maana huwa nakupenda japo ni mke wa mtu![emoji1][emoji1][emoji1]
 
MANGE KARUDI HEWANI DAKIKA HII
upload_2017-10-16_14-41-34.png
 
unampaisha sana adeal na macontroler kwa umaarufu gani au heshima gani anayo katika dunia hii???kudeal na macontroler hiyo ni special favour na haitolewi tolewi tuu ilimradi umejisikia tuu.

Na kama kudeal na macontroler basi serikali ya tanzania ingeshamfungia kitambo wangeenda tuu kumreport upuuzi wake basi.
wew tu na akili zako mgando usiyeelewa hata haki zako za kutumia izo social networks unadhani mpka uwe celebrate ndo wanakusikiliza kama vile ajira za kibongo na vimemo account kibao zimerepotiwa na haters na wasiopenda kukosolewa ili zifungiwe lakini zimeachwa mfano mdogo tu ni malisa GJ wa fb
 
Wape moyo Wajinga na Wapumbavu ila hapo tayari mission has been accomplished na najua umeshajua what next. Yeye alijua watakaomfuatilia watakuwa ' Waafrika ' wenzie wakati wenye ' akili ' zao wamempandikizia ' Marafiki ' kibao tena Wazungu na ndiyo wanamaliza Kazi taratibu. Hii ni ya Kwanza na soon watakamilisha ya pili kisha ' tutaheshimiana ' hapa mjini. Ukimya wa yule unayemsumbua, kumuonea na kumdhalilisha huwa unakuwa na majibu yenye ' Kishindo ' Kikali sana na huwezi amini.

Kwa jinsi ninavyokujua najua fika umeshajua what happened na what next juu yake ila humu unawazuga tu Watu wajue upo nao katika ' masikitiko ' kumbe unawasanifu tu.
1 Hacker Way, Menlo Park, CA 94025
 
Anajifanya ana akili, mbinu na ujanja wakati kumbe ni mweupe tu mbele ya wanaojua majukumu / kazi zao walizozibobea kisawasawa.
Usipende kudanganywa kirahisi,
Mange alivyopewa ile simu aliipeleke apple store wakampa ya rangi nyingine.
Hapo wewe ccm makondaktako na mange nani ana akili?
Hapa unakuja kushangilia eti mange katumiwa simu? Usidhani kama mange ni kiazi kama mlivyo nyinyi.
Soon atacome back.
Na funny enough mange haachagi history kwenye DM yake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom