Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo feki, kimambi ana followers aka nyumbu kama milion moja na ushee hivi.
Nimekuwa nafikiri labda kuna tatizo upstairs, sijui lkn kwani kuna wakati aliamua kumvua nguo mzazi mwenzie na mwisho wa siku ikawa hata yeye alijidhalilisha kabisa bila sababu yoyote ya msingi, kisa HASIRA.Yani anakera anamuandama mtoto wa mwanamke mwenzie kama kamlia chake!
Nokia 8 imemponza vipi mkuu.Hahahahahah huwezi cheza na Serikali ina mkono mrefu,bye bye Mange Kimambi.Ile simu nokia 8 imekuponza.Nimeamini bora ukose mali kuliko kukosa akili.
Mimi sijasema ni kajitu wala jitu nimeuliza mnamjua?Hakuna cha Vingunguti wala nini. Huyo Mange ni kajitu kadogo sana mbele ya nguvu za dola.
Ndo maana huwa nakupenda japo ni mke wa mtu![emoji1][emoji1][emoji1]Naona followers wake wanalia hapa eti atafungua nyingine. Tatizo sio kufungua nyingine,tatizo ni kupata followers milion 2 kwa muda mfupi. Maana wale followers wengi aliwavuta kwa kumtukana lowassa kisha,mafufuli,msiba wa ivan,mimba za zari etc
Daah! Huyu kweli kubwa la maadaui.anazo mbili
Unalipwa shilling ngapi kwa kila aliyekufollow?Concept ya followers unaifahamu mkuu??....assume ulikuwa na followers million kumi then account yako ikafutwa,unafikiri ukifungua account mpya ni rahisi kuwapata tena hao followers million kumi??!
wew tu na akili zako mgando usiyeelewa hata haki zako za kutumia izo social networks unadhani mpka uwe celebrate ndo wanakusikiliza kama vile ajira za kibongo na vimemo account kibao zimerepotiwa na haters na wasiopenda kukosolewa ili zifungiwe lakini zimeachwa mfano mdogo tu ni malisa GJ wa fbunampaisha sana adeal na macontroler kwa umaarufu gani au heshima gani anayo katika dunia hii???kudeal na macontroler hiyo ni special favour na haitolewi tolewi tuu ilimradi umejisikia tuu.
Na kama kudeal na macontroler basi serikali ya tanzania ingeshamfungia kitambo wangeenda tuu kumreport upuuzi wake basi.
Chupi wwMange amekomeshwa na serikali bado wafuasi wa CHADEMA huku jf tutawafungia nao
Umekasirika kurudiiPhone 8,Bwana ila nasikia karudi
1 Hacker Way, Menlo Park, CA 94025Wape moyo Wajinga na Wapumbavu ila hapo tayari mission has been accomplished na najua umeshajua what next. Yeye alijua watakaomfuatilia watakuwa ' Waafrika ' wenzie wakati wenye ' akili ' zao wamempandikizia ' Marafiki ' kibao tena Wazungu na ndiyo wanamaliza Kazi taratibu. Hii ni ya Kwanza na soon watakamilisha ya pili kisha ' tutaheshimiana ' hapa mjini. Ukimya wa yule unayemsumbua, kumuonea na kumdhalilisha huwa unakuwa na majibu yenye ' Kishindo ' Kikali sana na huwezi amini.
Kwa jinsi ninavyokujua najua fika umeshajua what happened na what next juu yake ila humu unawazuga tu Watu wajue upo nao katika ' masikitiko ' kumbe unawasanifu tu.
yani misukule inashangilia ngoja mange aamke tuone atakavyowaumbuaDaah! Huyu kweli kubwa la maadaui.
Sio kwa mapovu haya yanayowatoka khaaaa!
Usipende kudanganywa kirahisi,Anajifanya ana akili, mbinu na ujanja wakati kumbe ni mweupe tu mbele ya wanaojua majukumu / kazi zao walizozibobea kisawasawa.
Yale matusi kwa wazungu ndo huwa wanaita ni democrasia!![emoji53][emoji53][emoji53]hahahaha na yale matusi?? maana c mpaka waelewe kilichoandikwa