Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunatengeneza nafasi za ajira zilizopotezwa mdodomdogo.
Good! Kumbe Tangazo ni la leo hii. So Vicky Ntetema yupo kwa ofisi now! Ubarikiwe sana Mrembo Vick Ntetema! Sauti yako hunikosha sana!
Bila picha ya mrembo husika hii pongezi yako hainogiGood! Kumbe Tangazo ni la leo hii. So Vicky Ntetema yupo kwa ofisi now! Ubarikiwe sana Mrembo Vick Ntetema! Sauti yako hunikosha san
Wewe nawe - Hulka zile zile za Kwenda Zake!Ni mwendo wa kupiga pesa,kununua miprado,kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.
Sifa Ni kuchafua na kua agent wa beberu
Ukigoogle kwa jina lake utamwona tu Mkuu!Bila picha ya mrembo husika hii pongezi yako hainogi
Usiwapangie matumizi. Na sasa Twitter ni bila VPN.Tutashuhudia mafuriko ya post twitter na kwingineko.
Hizo fedha fanyieni mambo ya maana msizitumbue kwa anasa tu.
Mungu fundiMagu bora kaenda
Sio kidogo.Mungu fundi
Sasa hivi mambo safi eee?Sio kidogo.
Toka usingizini wewe taga Wenzio tushashtuka Bado upo gizaniWasirudie tena kujaribu kumuingiza amsterdam ikulu kwa mgongo wa mzee wa MIGA.
Nadhani wamejifunza sasa kwamba mr belgiji ndio aliwasababishia yote hayo.
Una roho ya kimaskini sana.Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.
Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu