IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Kutoka usingizini ni kumchagua amsterdam awe rais wetu kwa mgongo wa Loketo?Toka usingizini wewe taga Wenzio tushashtuka Bado upo gizani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoka usingizini ni kumchagua amsterdam awe rais wetu kwa mgongo wa Loketo?Toka usingizini wewe taga Wenzio tushashtuka Bado upo gizani
Taratibu tunarudi kwenye ustaarabu na kujitenga na shetani ambaye alibudiwa na kutumikiwa wakati wa wamu ya 5.
Yule mwizi hakukwapua hela kwenye hiyo akaunti?
Wewe ni miongoni mwa masalia ya shetani. Sali sana ili roho yako ijitenge na nguvu za shetani. Vinginevyo utaangamia. Shetani anakutumia, na kisha anakuangamiza.Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.
Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu
Vipi mkuu...Hapa Utapongeza na kupiga vigelegele?Tutashuhudia mafuriko ya post twitter na kwingineko.
Hizo fedha fanyieni mambo ya maana msizitumbue kwa anasa tu.
Mataga sasa hivi mmegeuka WAPINZANI wa Sera za Rais wa CCM.Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.
Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu
Mkuu...hapa Utasifu Serikali au Utaiponda?Wasirudie tena kujaribu kumuingiza amsterdam ikulu kwa mgongo wa mzee wa MIGA.
Nadhani wamejifunza sasa kwamba mr belgiji ndio aliwasababishia yote hayo.
Hapo naisifu selikali mkuu, maana hiyo taasisi karibu na uchaguzi ghafla account zao zikapokea bilioni 6 ambazo hazikujulikana zinatoka wapi kwenda wapi!Mkuu...hapa Utasifu Serikali au Utaiponda?
Yaani Mataga mmeshikwa pabaya sana. Ghafla mmegeuka kuwa wapinzani wa sera za serikali
Hili ndio swali la msingi, sio account zinafunguliwa halafu hazina coin.Fedha zimesalimika?
Serikali Ilipofungia.... ULISIFUHapo naisifu selikali mkuu, maana hiyo taasisi karibu na uchaguzi ghafla account zao zikapokea bilioni 6 ambazo hazikujulikana zinatoka wapi kwenda wapi!
Selikali ikazipiga pin, kumbe zilikuwa za mr belgiji toka kwa beberu zake kwa ajili ya kampeni. Ndio maana zilipopigwa pin aling'aka sana.
Mkuu mimi naiamini selikali yangu maana yenyewe ndio ina taarifa zaidi.Serikali Ilipofungia.... ULISIFU
Serikali imefungulia....UMESIFU
Endapo Serikali isingeifungulia... UNGESIFU
Wanaosemaga Mataga ni Zero brain a.k.a Misukule hawakukosea..
Yaani mko kama Mazombie hivi...Hamna mnachokiamini wala kukisimamia.
Upepo ukienda kaskazini mnaenda nao, ukienda kusini mnaenda nao.
Huo msamiati wa mabeberu kaondoka nao mwendazake umebaki wewe tuNi mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.
Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu
Serikali ikienda Kulia unaiamini na unapiga vigelegele, ikienda kushoto unaiamini na unapiga vigelegele...Mkuu mimi naiamini selikali yangu maana yenyewe ndio ina taarifa zaidi.
Na ukumbuke lengo la kufunga account ni ili amsterdam asiwe rais kwa mgingo wa mzee wa MIGA, sasa kama lengo limefanikiwa kwanini ziendelee kufungiwa?
Wewe ni mgumu kuelewa!Serikali ikienda Kulia unaiamini na unapiga vigelegele, ikienda kushoto unaiamini na unapiga vigelegele...
Sikukosea kukuita Msukule.
Kila kitu kitakaa sawa mzee, palipovurugwa na yule jamaa patasawazishwa, angalau sasa nina amani na naipenda tanzania yangu.Duuh! Mwanga unaanza kuonekana.
All the best
Mkuu naskia eti ile zawadi wa tz tuliyopewa tarehe 17/3 et wewe haikuhusu, ni kweli???Wasirudie tena kujaribu kumuingiza amsterdam ikulu kwa mgongo wa mzee wa MIGA.
Nadhani wamejifunza sasa kwamba mr belgiji ndio aliwasababishia yote hayo.