Akaunti za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki Binadamu Tanzania (THRDC) zimefunguliwa baada ya kufungwa kwa takribani miezi 8

Akaunti za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki Binadamu Tanzania (THRDC) zimefunguliwa baada ya kufungwa kwa takribani miezi 8

Taratibu tunarudi kwenye ustaarabu na kujitenga na shetani ambaye alibudiwa na kutumikiwa wakati wa wamu ya 5.

Tunakuomba Mungu uzidi kuibariki nchi yetu na uilinde isije tena siku moja ikatumbukia kwenye utawala wa shetani. Nakuomba, masalia ya shetani yaendelee kuangamia na watu wa Mungu wazidi kutamalaki.
 
Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.

Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu
Wewe ni miongoni mwa masalia ya shetani. Sali sana ili roho yako ijitenge na nguvu za shetani. Vinginevyo utaangamia. Shetani anakutumia, na kisha anakuangamiza.
 
Tutashuhudia mafuriko ya post twitter na kwingineko.

Hizo fedha fanyieni mambo ya maana msizitumbue kwa anasa tu.
Vipi mkuu...Hapa Utapongeza na kupiga vigelegele?

Walipofunga ulishangilia...nataka kujua, sasa hivi walipofungulia Utashangilia pia?
 
Mkuu...hapa Utasifu Serikali au Utaiponda?

Yaani Mataga mmeshikwa pabaya sana. Ghafla mmegeuka kuwa wapinzani wa sera za serikali
Hapo naisifu selikali mkuu, maana hiyo taasisi karibu na uchaguzi ghafla account zao zikapokea bilioni 6 ambazo hazikujulikana zinatoka wapi kwenda wapi!

Selikali ikazipiga pin, kumbe zilikuwa za mr belgiji toka kwa beberu zake kwa ajili ya kampeni. Ndio maana zilipopigwa pin aling'aka sana.
 
Serikali Ilipofungia.... ULISIFU
Serikali imefungulia....UMESIFU
Endapo Serikali isingeifungulia... UNGESIFU

Wanaosemaga Mataga ni Zero brain a.k.a Misukule hawakukosea..
Yaani mko kama Mazombie hivi...Hamna mnachokiamini wala kukisimamia.

Upepo ukienda kaskazini mnaenda nao, ukienda kusini mnaenda nao.
 
Nina imani wote waliojeruhiwa na dikteta wanaanza kupata FURAHA. Ni mengi kumbe wamejificha nyuma ya pazia sema kwa kuwa hatukuwa na uhuru wa Habari hatukufahamu. Yote yatatoka nje kwenye jua kabisa tutasikia.

Mh. Rais Samia Suluhu Hassan huyu ndiye Rais anayefahamu maana ya kuwa Rais. KAMA kuna watu waliitaka tuwe na Rais wa maisha basi huyu ndiye anayestajili na Mungu aliamua iwe hivyo.

Mungu ni fundi haswa. Narudia Mungu siyo fundi mchundo. Jina la Bwana Yesu lihimidiwe.
 
Serikali Ilipofungia.... ULISIFU
Serikali imefungulia....UMESIFU
Endapo Serikali isingeifungulia... UNGESIFU

Wanaosemaga Mataga ni Zero brain a.k.a Misukule hawakukosea..
Yaani mko kama Mazombie hivi...Hamna mnachokiamini wala kukisimamia.

Upepo ukienda kaskazini mnaenda nao, ukienda kusini mnaenda nao.
Mkuu mimi naiamini selikali yangu maana yenyewe ndio ina taarifa zaidi.

Na ukumbuke lengo la kufunga account ni ili amsterdam asiwe rais kwa mgingo wa mzee wa MIGA, sasa kama lengo limefanikiwa kwanini ziendelee kufungiwa?
 
Hakika mwanga na nuru vimeingia Tanzania. Asante Mungu kwa kutuondolea giza nene.
 
Mkuu mimi naiamini selikali yangu maana yenyewe ndio ina taarifa zaidi.

Na ukumbuke lengo la kufunga account ni ili amsterdam asiwe rais kwa mgingo wa mzee wa MIGA, sasa kama lengo limefanikiwa kwanini ziendelee kufungiwa?
Serikali ikienda Kulia unaiamini na unapiga vigelegele, ikienda kushoto unaiamini na unapiga vigelegele...

Sikukosea kukuita Msukule.
 
Serikali ikienda Kulia unaiamini na unapiga vigelegele, ikienda kushoto unaiamini na unapiga vigelegele...

Sikukosea kukuita Msukule.
Wewe ni mgumu kuelewa!

Basi kamwambie Lisu zile hela zake alizopewa na beberu kwa ajili ya kampeni zimeachiwa huru aje achukue.
 
Wasirudie tena kujaribu kumuingiza amsterdam ikulu kwa mgongo wa mzee wa MIGA.

Nadhani wamejifunza sasa kwamba mr belgiji ndio aliwasababishia yote hayo.
Mkuu naskia eti ile zawadi wa tz tuliyopewa tarehe 17/3 et wewe haikuhusu, ni kweli???
 
Back
Top Bottom