Akaunti za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki Binadamu Tanzania (THRDC) zimefunguliwa baada ya kufungwa kwa takribani miezi 8

Akaunti za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki Binadamu Tanzania (THRDC) zimefunguliwa baada ya kufungwa kwa takribani miezi 8

Mkuu naskia eti ile zawadi wa tz tuliyopewa tarehe 17/3 et wewe haikuhusu, ni kweli???
Mkuu! Unaongea nini wewe? kikubwa mzee wa MIGA hajawa rais ili amsterdam afanye ikulu yetu geto lake.
 
Nina imani wote waliojeruhiwa na dikteta wanaanza kupata FURAHA. Ni mengi kumbe wamejificha nyuma ya pazia sema kwa kuwa hatukuwa na uhuru wa Habari hatukufahamu. Yote yatatoka nje kwenye jua kabisa tutasikia.

Mh. Rais Samia Suluhu Hassan huyu ndiye Rais anayefahamu maana ya kuwa Rais. KAMA kuna watu waliitaka tuwe na Rais wa maisha basi huyu ndiye anayestajili na Mungu aliamua iwe hivyo.

Mungu ni fundi haswa. Narudia Mungu siyo fundi mchundo. Jina la Bwana Yesu lihimidiwe.
Umenena vyema sana mkuu, hyu ndio wa kutawala mpk achoke, sio yule wa tuko pazuriiiiiiiii, tembeeni vifua mbereeeee huku watu ata mia mfukoni hawana.
 
Ile kesi ya ICC watafungua sasa maana fedha wamepata.
 
Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.

Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu.
Haya ndio mawazo ya masikini!!yaani ni chuki tu kwa mwenye nacho, na ndio yalikuwa mawazo ya meko.aibu sana!!
 
Wasirudie tena kujaribu kumuingiza amsterdam ikulu kwa mgongo wa mzee wa MIGA.

Nadhani wamejifunza sasa kwamba mr belgiji ndio aliwasababishia yote hayo.
Dunia ni hadaa ulimwengu shujaa. Shujaa wa afrika kafa mambo yake yote aliyojulidai yanageuzwa. Mfikishie ujumbe huko kuzimu.
 
Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.

Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu.
Utakuda maskini hivyo hivyo.
 
Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.

Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu.
Pesa inatoka nje, si kodi ya watanzania; wakinunua Prado kodi inaingia, wakijenga wananunua cement, mabati, matofali, nondo nk viwanda vyetu vinafanya kazi kodi inakusanywa na ajira inaongezeka; wakiingiza fedha kwenye account zao kwenye benki za Tanzania, tunzikopa na kuingiza riba ambayo inakatwa kodi. NGO hizi zinaajiri watanzania nao wanalipa PAYE.
Mimi nadhani wangehimizwa kutafuta fedha nyingi iwezekanavyo kutoka nje as long as hazina athari kwa usalama wa nchi.
 
Good! Kumbe Tangazo ni la leo hii. So Vicky Ntetema yupo kwa ofisi now! Ubarikiwe sana Mrembo Vick Ntetema! Sauti yako hunikosha sana!
Huyu Mama aliishastaafu siku nyingi BBC. Kastaafu Under the Same Sun. Ila bado analeta chokochoko na Serikali. Anaweza akawa anatumiwa na mabeberu huyu. Serikali iwe makini naye!!!!
 
Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.

Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu.
Wewe ni pepo mchafu! Shindwa pepo!!
 
Back
Top Bottom