Tunajua utaratibu wa kubadili katiba unahitaji idadi fulani ya wajumbe lazima ifikiwe aidha nusu au robo tatu na mabadiliko yeyote lazima yaungwe mkono kwa kupigiwa kura.
Haya yote yatafanyika vipi mtandaoni, wanachama watashirikishwa vipi kubadili katiba yao ambayo ndio mwongozo mkuu wa chama.
Nilijaribu kuhoji haya kwenye uzi wangu "Mkutano Mkuu wa Mitandaoni?"
Kwa watu wenye akili timamu haya ndiyo masuala ya msingi kuhoji kuhusu Mkutano huu, tusijifiche kwenye kipengele cha katiba inaruhusu Mkutano wa mitandaoni.