- Thread starter
- #41
ni katiba au kanuni?
ni katiba au kanuni?
Mimi nimeshindwa kupata majibu. Effectiveness, Efficiency and Accountability juu ya uendeshaji wa huu mkutano unaopanga kufanya mabadiliko muhimu kama ya Katiba.Tunajua utaratibu wa kubadili katiba unahitaji idadi fulani ya wajumbe lazima ifikiwe aidha nusu au robo tatu na mabadiliko yeyote lazima yaungwe mkono kwa kupigiwa kura.
Haya yote yatafanyika vipi mtandaoni, wanachama watashirikishwa vipi kubadili katiba yao ambayo ndio mwongozo mkuu wa chama.
Nilijaribu kuhoji haya kwenye uzi wangu "Mkutano Mkuu wa Mitandaoni?"
Kwa watu wenye akili timamu haya ndiyo masuala ya msingi kuhoji kuhusu Mkutano huu, tusijifiche kwenye kipengele cha katiba inaruhusu Mkutano wa mitandaoni.
Ametangaza Amos Makala janamarekebisho madogo ya katiba ya CCMMkuu,
Ajenda ya kubadili katiba imetangazwa ikanipita au wewe umeipata wapi hii?
angalia mkutano upo live uone kira zinapigwajeYapi hayo, nimehoji akidi na kura zitapigwa kwenye laptop.
Ili Ikulu ijae mbubujiko wa machozi?🤣Mimi napendekeza Mwashambwa apeperushe bendera ya ccm katika nafasi ya urais
Nukuu kifungu kama kilivyo,neno wajinga umeliachaEnyi Wagalatia mtabishana na Ayatollah Kikwete na Dada yake Samia mpaka lini?
Yeah.Ametangaza Amos Makala janamarekebisho madogo ya katiba ya CCM
Wanarekebisha hicho anachopigia kelele Polepole kwamba CCM inapoisha miaka 10 ya wamamu huwa wana utaratibu wa kumwaga oil. Sasa wanataka hiyo sentensi kama imokwenye katiba iondolewe na kurekebishwa. Pia kile alisema Makamu, Spika na Waziri Mkuu hawaruhusiwi kugombe tena wanataka nacho kama kimo kwenye katiba yao uifanyie marekebisho. Kikwete anakiharibu hiki chamaYeah.
Lakini wanarekebisha nini mkuu, sijafahamu hapo bado na huku nasikia mkutano unaendelea ndiyo kwanza naamka pande hizi za dunia.
Kwani kimo kwenye katiba? Mbona Polepole kasema desturi, utamaduni, hajasema katiba?Wanarekebisha hicho anachopigia kelele Polepole kwamba CCM inapoisha miaka 10 ya wamamu huwa wana utaratibu wa kumwaga oil. Sasa wanataka hiyo sentensi kama imokwenye katiba iondolewe na kurekebishwa. Pia kile alisema Makamu, Spika na Waziri Mkuu hawaruhusiwi kugombe tena wanataka nacho kama kimo kwenye katiba yao uifanyie marekebisho. Kikwete anakiharibu hiki chama