Akidi ya Wajumbe itapatikanaje na Kura kukubali mabadiliko zitapigwaje

Hivi mnaohoji humu ni CCM au CHADEMA? Kama nyie siyo CCM naomba tuwaachie mambo yao maana hayana msaada kwetu tusiokuwa wanachama wao. Kama ni kura watakuwa wameandaa utaratibu mzuri tu! Kwa mfano wamesema wajumbe wa mkutano mkuu wakusanyike kwenye ukumbi wa kila wilaya na huko ndiko watafuatlia huo mkutano, sasa hapo wakisema wapige kura di wataweza na zitahesabiwa kwa kila wilaya na kutumwa taifa? Sasa hapo huoni kama wanaweza kufaulu? Pamoja na kwamba ka mwenyekiti kamegoma face ti face ya wajumbe, katika hili CCM walikuwa wamekuja na ubunifu mzuri wa kubana matumizi changamoto watakayokuwa nayo ni wilaya zile ambazo ziko pembezoni! Kupata network ya uhakika siyo rahisi! Yaani uwe Nanyamba halafu upate network? Haiwezekani!
Mjumbe wa Makete akinyoosha mikono kuuliza au kuhoji atajibiwa na nani Mkiti wilaya ya Makete au Mkiti Taifa ambaye atakuwa sijui Dodoma, haya si rahisi kama unavyodhania.
 
Ila kununua baiskeli pikipiki na mabango nchi nzima hawana haja ya kubana matumizi??

Hatutaacha kuwasema na kuwashambulia kwani wamekuwa wakitufanyia dhuluma kwa muda mrefu.
 
Huyo msajiri anaeinanga chadema kisa akidi haijatimia ndio tumuone atatoa ushauri gani
 
Mjumbe wa Makete akinyoosha mikono kuuliza au kuhoji atajibiwa na nani Mkiti wilaya ya Makete au Mkiti Taifa ambaye atakuwa sijui Dodoma, haya si rahisi kama unavyodhania.
Labda kama hujawahi kushiriki mikutano mikubwa ya mtandaoni. Hilo mbona mwenyekiti Taifa anajibu moja kwa moja. Si kunakuwa na moderator ambaye anakuwa anachukua maswali kutoka kwa wajumbe mtandaoni na baadaye mwenyekiti anapewa nafasi ya kuyajibu. Kwa mfano swali limetoka kwa mjumbe wa Simanjiro, katibu analipeleka kwa moderator.
 
Ila kununua baiskeli pikipiki na mabango nchi nzima hawana haja ya kubana matumizi??

Hatutaacha kuwasema na kuwashambulia kwani wamekuwa wakitufanyia dhuluma kwa muda mrefu.
Waacheni liwadodee! Ka mwenyekiti mpaka kamefika mahali kanaogopa hoja za Lusinde. Hapo ndipo mjue kwa urais tulipigwa!
 
Mjumbe wa Makete akinyoosha mikono kuuliza au kuhoji atajibiwa na nani Mkiti wilaya ya Makete au Mkiti Taifa ambaye atakuwa sijui Dodoma, haya si rahisi kama unavyodhania.
Wakitumia zoom inawezekana ila wajipange vizuri. Hata kuhesabu idadi ya wahudhuriaji inawezekana haichukui hata dakika kumi kupata ripoti
 
Mimi nawapongeza CCM kwa kuheshimu teknolojia na kufanya mkutano mkuu kwa njia ya mtandao.

Sasa, twende mbele zaidi, wale wanokutana pale Dodoma wakijiita wawakilishi wa wananchi, waanze kukutana kwa kutumia mtamdao, kibajaji mtera, msukuma geita nk.
Kadhalika, tumieni mitandao kufanta mikitano mingine ambayo kila mara watumishi wanatumia mudamwingi kusafiri lwenda kubudhuria mikutano.

Nasema CCM waungwe mkono. Kuna kero ya kusimamishwa barabarani kwa zaidi ya saa mbili, kusubiri msafara wa mheshimiwa kuzindua choo cha shule, wafanye kwa mtandao.
Hongera ccm
 
Kupika data mbona ni jadi ya sisiemu? Uchafuzi wa serikali za mitaa ulifanyikia ofisini kwa kifua kipana na alipika kura za nchi nzima akashinda kwa 99% itakuwa huu tu wa kijani peke yao? Matokeo wanayo tayari

Ya jiwe napi na yule mwingine walisema yalikua nusu haramu toka maporini na maisha yakaendelea so hii sio big deal kwa watu waliozoea kunywa damu! Watakunywa tu na yataisha
 
Tunajua utaratibu wa kubadili katiba unahitaji idadi fulani ya wajumbe lazima ifikiwe aidha nusu au robo tatu na mabadiliko yeyote lazima yaungwe mkono kwa kupigiwa kura.

Haya yote yatafanyika vipi mtandaoni, wanachama watashirikishwa vipi kubadili katiba yao ambayo ndio mwongozo mkuu wa chama.

Nilijaribu kuhoji haya kwenye uzi wangu "Mkutano Mkuu wa Mitandaoni?"

Kwa watu wenye akili timamu haya ndiyo masuala ya msingi kuhoji kuhusu Mkutano huu, tusijifiche kwenye kipengele cha katiba inaruhusu Mkutano wa mitandaoni.
Kwenye draft hii inaitwa fosi kingi na ukizubaa unafungwa supa.
 
Sidhani kama wanaenda kubadili Katiba. Mchakato wa kubadilisha Katiba ni mrefu Sana
Watabadili katiba, kwenye suala la kupata wagombea ubunge na udiwani wanaweza kuongeza idadi ya majina
 
Msajili Mutungi atahakikisha akidi imetima
 
Tunajua utaratibu wa kubadili katiba unahitaji idadi fulani ya wajumbe lazima ifikiwe aidha nusu au robo tatu na mabadiliko yeyote lazima yaungwe mkono kwa kupigiwa kura.

Haya yote yatafanyika vipi mtandaoni, wanachama watashirikishwa vipi kubadili katiba yao ambayo ndio mwongozo mkuu wa chama.

Nilijaribu kuhoji haya kwenye uzi wangu "Mkutano Mkuu wa Mitandaoni?"

Kwa watu wenye akili timamu haya ndiyo masuala ya msingi kuhoji kuhusu Mkutano huu, tusijifiche kwenye kipengele cha katiba inaruhusu Mkutano wa mitandaoni.
Washaandaliwa tayari na tiaiesiesi.Mchezo umeshamalizika.
 
2020 kwenye uchaguzi mkuu kuna baadhi ya Wanachadema walipendekeza kura kupigwa kwa njia ya mtandao, leo hii hao hao chadema wanahoji ccm watapigaje kura kwa mtandao 😂
 
Labda kama hujawahi kushiriki mikutano mikubwa ya mtandaoni. Hilo mbona mwenyekiti Taifa anajibu moja kwa moja. Si kunakuwa na moderator ambaye anakuwa anachukua maswali kutoka kwa wajumbe mtandaoni na baadaye mwenyekiti anapewa nafasi ya kuyajibu. Kwa mfano swali limetoka kwa mjumbe wa Simanjiro, katibu analipeleka kwa moderator.
Mara umeme unakatika dah....

GwtqD4uXgAAuRuK.jpg
 
Back
Top Bottom