Ndio Sawa na Ile kesi ya Yule Simba wa kizimkazi, walio taka ifanyike kwa mtandao ikashindikana. Hii ni shida ya wahuni wakitaka mambo yaoTunajua utaratibu wa kubadili katiba unahitaji idadi fulani ya wajumbe lazima ifikiwe aidha nusu au robo tatu na mabadiliko yeyote lazima yaungwe mkono kwa kupigiwa kura.
Haya yote yatafanyika vipi mtandaoni, wanachama watashirikishwa vipi kubadili katiba yao ambayo ndio mwongozo mkuu wa chama.
Nilijaribu kuhoji haya kwenye uzi wangu "Mkutano Mkuu wa Mitandaoni?" Mods wakauondoa.
Kwa watu wenye akili timamu haya ndiyo masuala ya msingi kuhoji kuhusu Mkutano huu, tusijifiche kwenye kipengele cha katiba inaruhusu Mkutano wa mitandaoni.
Kwa watu wenye akili timamu haya ndiyo masuala ya msingi kuhoji kuhusu Mkutano huu, tusijifiche kwenye kipengele cha katiba inaruhusu Mkutano wa mitandaoni.📌🔨💥Tunajua utaratibu wa kubadili katiba unahitaji idadi fulani ya wajumbe lazima ifikiwe aidha nusu au robo tatu na mabadiliko yeyote lazima yaungwe mkono kwa kupigiwa kura.
Haya yote yatafanyika vipi mtandaoni, wanachama watashirikishwa vipi kubadili katiba yao ambayo ndio mwongozo mkuu wa chama.
Nilijaribu kuhoji haya kwenye uzi wangu "Mkutano Mkuu wa Mitandaoni?"
Kwa watu wenye akili timamu haya ndiyo masuala ya msingi kuhoji kuhusu Mkutano huu, tusijifiche kwenye kipengele cha katiba inaruhusu Mkutano wa mitandaoni.
Yaani wanachama wanabaki kuwa "Ndugu watazamaji na wasikilizaji mkutano wetu ndio umeishia hapo kwaherini".Imeandikwa UKWELI Humwacha mtu kuwa HURU
Adhabu ya Dhambi ni Umauti
Kazi kwa wanachama
Kulindwa N'tu au Chama
Lengo ni kuhalalisha kakifungu kalikokiukwa na sasa kanapigiwa kelele.Tunajua utaratibu wa kubadili katiba unahitaji idadi fulani ya wajumbe lazima ifikiwe aidha nusu au robo tatu na mabadiliko yeyote lazima yaungwe mkono kwa kupigiwa kura.
Haya yote yatafanyika vipi mtandaoni, wanachama watashirikishwa vipi kubadili katiba yao ambayo ndio mwongozo mkuu wa chama.
Nilijaribu kuhoji haya kwenye uzi wangu "Mkutano Mkuu wa Mitandaoni?"
Kwa watu wenye akili timamu haya ndiyo masuala ya msingi kuhoji kuhusu Mkutano huu, tusijifiche kwenye kipengele cha katiba inaruhusu Mkutano wa mitandaoni.
Chama sio JeshiWrite your reply...hoji na pinga baada ya matokeo vinginevyo ni kubashiri tu
kumbe wewe ni nyumbu nikajua ni kijani basi hakuna haja ya kujadiliana na nyumbo mwenye mlengo wa upotoshajiChama sio Jeshi
Limewaganda safari hii
Muungwana huchutama kama Mwamba livyokubali
Mwamba alikubali na maisha yaendelee
Ikiwa na hoja tofauti unakuwa Nyumbu!!kumbe wewe ni nyumbu nikajua ni kijani basi hakuna haja ya kujadiliana na nyumbo mwenye mlengo wa upotoshaji
Mkuu,Tunajua utaratibu wa kubadili katiba unahitaji idadi fulani ya wajumbe lazima ifikiwe aidha nusu au robo tatu na mabadiliko yeyote lazima yaungwe mkono kwa kupigiwa kura.
Haya yote yatafanyika vipi mtandaoni, wanachama watashirikishwa vipi kubadili katiba yao ambayo ndio mwongozo mkuu wa chama.
Nilijaribu kuhoji haya kwenye uzi wangu "Mkutano Mkuu wa Mitandaoni?"
Kwa watu wenye akili timamu haya ndiyo masuala ya msingi kuhoji kuhusu Mkutano huu, tusijifiche kwenye kipengele cha katiba inaruhusu Mkutano wa mitandaoni.
Ni katiba ya CCMMkuu,
Ajenda ya kubadili katiba imetangazwa ikanipita au wewe umeipata wapi hii?
Ndio maana tunahoji kwanini ghafla hivyo tena mtandaoni.Sidhani kama wanaenda kubadili Katiba. Mchakato wa kubadilisha Katiba ni mrefu Sana
Soma katiba ya ccm hayo yote yalishafanyiwa kazi,ccm wako mbali sana sanaTunajua utaratibu wa kubadili katiba unahitaji idadi fulani ya wajumbe lazima ifikiwe aidha nusu au robo tatu na mabadiliko yeyote lazima yaungwe mkono kwa kupigiwa kura.
Haya yote yatafanyika vipi mtandaoni, wanachama watashirikishwa vipi kubadili katiba yao ambayo ndio mwongozo mkuu wa chama.
Nilijaribu kuhoji haya kwenye uzi wangu "Mkutano Mkuu wa Mitandaoni?"
Kwa watu wenye akili timamu haya ndiyo masuala ya msingi kuhoji kuhusu Mkutano huu, tusijifiche kwenye kipengele cha katiba inaruhusu Mkutano wa mitandaoni.
Marekebisho gani?
Ni siri kama za jando.Marekebisho gani?
Yapi hayo, nimehoji akidi na kura zitapigwa kwenye laptop.Soma katiba ya ccm hayo yote yalishafanyiwa kazi,ccm wako mbali sana sana