Mjumbe wa Makete akinyoosha mikono kuuliza au kuhoji atajibiwa na nani Mkiti wilaya ya Makete au Mkiti Taifa ambaye atakuwa sijui Dodoma, haya si rahisi kama unavyodhania.Hivi mnaohoji humu ni CCM au CHADEMA? Kama nyie siyo CCM naomba tuwaachie mambo yao maana hayana msaada kwetu tusiokuwa wanachama wao. Kama ni kura watakuwa wameandaa utaratibu mzuri tu! Kwa mfano wamesema wajumbe wa mkutano mkuu wakusanyike kwenye ukumbi wa kila wilaya na huko ndiko watafuatlia huo mkutano, sasa hapo wakisema wapige kura di wataweza na zitahesabiwa kwa kila wilaya na kutumwa taifa? Sasa hapo huoni kama wanaweza kufaulu? Pamoja na kwamba ka mwenyekiti kamegoma face ti face ya wajumbe, katika hili CCM walikuwa wamekuja na ubunifu mzuri wa kubana matumizi changamoto watakayokuwa nayo ni wilaya zile ambazo ziko pembezoni! Kupata network ya uhakika siyo rahisi! Yaani uwe Nanyamba halafu upate network? Haiwezekani!
Ila kununua baiskeli pikipiki na mabango nchi nzima hawana haja ya kubana matumizi??Hivi mnaohoji humu ni CCM au CHADEMA? Kama nyie siyo CCM naomba tuwaachie mambo yao maana hayana msaada kwetu tusiokuwa wanachama wao. Kama ni kura watakuwa wameandaa utaratibu mzuri tu! Kwa mfano wamesema wajumbe wa mkutano mkuu wakusanyike kwenye ukumbi wa kila wilaya na huko ndiko watafuatlia huo mkutano, sasa hapo wakisema wapige kura di wataweza na zitahesabiwa kwa kila wilaya na kutumwa taifa? Sasa hapo huoni kama wanaweza kufaulu? Pamoja na kwamba ka mwenyekiti kamegoma face ti face ya wajumbe, katika hili CCM walikuwa wamekuja na ubunifu mzuri wa kubana matumizi changamoto watakayokuwa nayo ni wilaya zile ambazo ziko pembezoni! Kupata network ya uhakika siyo rahisi! Yaani uwe Nanyamba halafu upate network? Haiwezekani!
Labda kama hujawahi kushiriki mikutano mikubwa ya mtandaoni. Hilo mbona mwenyekiti Taifa anajibu moja kwa moja. Si kunakuwa na moderator ambaye anakuwa anachukua maswali kutoka kwa wajumbe mtandaoni na baadaye mwenyekiti anapewa nafasi ya kuyajibu. Kwa mfano swali limetoka kwa mjumbe wa Simanjiro, katibu analipeleka kwa moderator.Mjumbe wa Makete akinyoosha mikono kuuliza au kuhoji atajibiwa na nani Mkiti wilaya ya Makete au Mkiti Taifa ambaye atakuwa sijui Dodoma, haya si rahisi kama unavyodhania.
Waacheni liwadodee! Ka mwenyekiti mpaka kamefika mahali kanaogopa hoja za Lusinde. Hapo ndipo mjue kwa urais tulipigwa!Ila kununua baiskeli pikipiki na mabango nchi nzima hawana haja ya kubana matumizi??
Hatutaacha kuwasema na kuwashambulia kwani wamekuwa wakitufanyia dhuluma kwa muda mrefu.
Wapiga ramliMkuu,
Ajenda ya kubadili katiba imetangazwa ikanipita au wewe umeipata wapi hii?
Mwashambwa si atakua anabubujikwa tu machozi pale ikuluLengo ni kuhalalisha kakifungu kalikokiukwa na sasa kanapigiwa kelele.
Msajili wa vyama atabariki.
Tanganyika hata akipewa Mwashambwa atabunujikwatutawala tu.
Wakitumia zoom inawezekana ila wajipange vizuri. Hata kuhesabu idadi ya wahudhuriaji inawezekana haichukui hata dakika kumi kupata ripotiMjumbe wa Makete akinyoosha mikono kuuliza au kuhoji atajibiwa na nani Mkiti wilaya ya Makete au Mkiti Taifa ambaye atakuwa sijui Dodoma, haya si rahisi kama unavyodhania.
Kwenye draft hii inaitwa fosi kingi na ukizubaa unafungwa supa.Tunajua utaratibu wa kubadili katiba unahitaji idadi fulani ya wajumbe lazima ifikiwe aidha nusu au robo tatu na mabadiliko yeyote lazima yaungwe mkono kwa kupigiwa kura.
Haya yote yatafanyika vipi mtandaoni, wanachama watashirikishwa vipi kubadili katiba yao ambayo ndio mwongozo mkuu wa chama.
Nilijaribu kuhoji haya kwenye uzi wangu "Mkutano Mkuu wa Mitandaoni?"
Kwa watu wenye akili timamu haya ndiyo masuala ya msingi kuhoji kuhusu Mkutano huu, tusijifiche kwenye kipengele cha katiba inaruhusu Mkutano wa mitandaoni.
Watabadili katiba, kwenye suala la kupata wagombea ubunge na udiwani wanaweza kuongeza idadi ya majinaSidhani kama wanaenda kubadili Katiba. Mchakato wa kubadilisha Katiba ni mrefu Sana
Washaandaliwa tayari na tiaiesiesi.Mchezo umeshamalizika.Tunajua utaratibu wa kubadili katiba unahitaji idadi fulani ya wajumbe lazima ifikiwe aidha nusu au robo tatu na mabadiliko yeyote lazima yaungwe mkono kwa kupigiwa kura.
Haya yote yatafanyika vipi mtandaoni, wanachama watashirikishwa vipi kubadili katiba yao ambayo ndio mwongozo mkuu wa chama.
Nilijaribu kuhoji haya kwenye uzi wangu "Mkutano Mkuu wa Mitandaoni?"
Kwa watu wenye akili timamu haya ndiyo masuala ya msingi kuhoji kuhusu Mkutano huu, tusijifiche kwenye kipengele cha katiba inaruhusu Mkutano wa mitandaoni.
ni katiba au kanuni?Ni katiba ya CCM
Mara umeme unakatika dah....Labda kama hujawahi kushiriki mikutano mikubwa ya mtandaoni. Hilo mbona mwenyekiti Taifa anajibu moja kwa moja. Si kunakuwa na moderator ambaye anakuwa anachukua maswali kutoka kwa wajumbe mtandaoni na baadaye mwenyekiti anapewa nafasi ya kuyajibu. Kwa mfano swali limetoka kwa mjumbe wa Simanjiro, katibu analipeleka kwa moderator.