Akidi ya Wajumbe itapatikanaje na Kura kukubali mabadiliko zitapigwaje

Umewaza vizuri sana, je uwazi wa kura utakuwaje na nani kapewa jukumu la kupiga kura?
 
Mimi nimeshindwa kupata majibu. Effectiveness, Efficiency and Accountability juu ya uendeshaji wa huu mkutano unaopanga kufanya mabadiliko muhimu kama ya Katiba.
Wajumbe wa mkutano Mkuu wamedharauliwa sana.
 
Ametangaza Amos Makala janamarekebisho madogo ya katiba ya CCM
Yeah.

Lakini wanarekebisha nini mkuu, sijafahamu hapo bado na huku nasikia mkutano unaendelea ndiyo kwanza naamka pande hizi za dunia.
 
Yeah.

Lakini wanarekebisha nini mkuu, sijafahamu hapo bado na huku nasikia mkutano unaendelea ndiyo kwanza naamka pande hizi za dunia.
Wanarekebisha hicho anachopigia kelele Polepole kwamba CCM inapoisha miaka 10 ya wamamu huwa wana utaratibu wa kumwaga oil. Sasa wanataka hiyo sentensi kama imokwenye katiba iondolewe na kurekebishwa. Pia kile alisema Makamu, Spika na Waziri Mkuu hawaruhusiwi kugombe tena wanataka nacho kama kimo kwenye katiba yao uifanyie marekebisho. Kikwete anakiharibu hiki chama
 
Kwani kimo kwenye katiba? Mbona Polepole kasema desturi, utamaduni, hajasema katiba?

Hapo si kwamba wanamnanga Polepole kwa kusema mambo ambayo hayapo katika katiba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…