JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Acha, mbwembwe, tekinolojia, inaelezeka, ni, fizikia, chemistry, matter in relation to energy, huwezi kulinganisha, na kuoga maji ya, maiti, kupiga ramli,kupereka kuku mweusi kwa mganga, na mailizi kibao yaliojaa vichwa vya mijusi.Binafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'.
Fikiria enzi za Yesu uende na smartphone uanze kupiga watu picha au uanze kupiga video call , hapo hapo utadakwa na kuchomwa moto na Kanisa kwa shutuma za uchawi.
Ni kama wale waliosema Dunia haipo katikati, au Dunia sio 'Flat'; kanisa liliwafanya kitu mbaya sana.
Sijaambiwa na mtu.Nani amekwambia maarifa wanayopeana hayako ‘Logically organized’?
Hayo mambo ya kuoga maji, kuku mweusi sio uchawi, ni utapeli wa baadhi ya waganga njaa, kwa kutumia mbinu inaitwa ‘PLACEBO’, ni utaoeli tu, hamna uchawi hapo. Tafuta maana ya ‘Placebo’, itakusaidia..Acha, mbwembwe, tekinolojia, inaelezeka, ni, fizikia, chemistry, matter in relation to energy, huwezi kulinganisha, na kuoga maji ya, maiti, kupiga ramli,kupereka kuku mweusi kwa mganga, na mailizi kibao yaliojaa vichwa vya mijusi.
weee jamaa!!!!,haiwezekani nimkute mwanamke uchi usiku akiwa anacheza ngoma alaf uniambie eti ni tknolojia!!Binafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'.
Fikiria enzi za Yesu uende na smartphone uanze kupiga watu picha au uanze kupiga video call , hapo hapo utadakwa na kuchomwa moto na Kanisa kwa shutuma za uchawi.
Ni kama wale waliosema Dunia haipo katikati, au Dunia sio 'Flat'; kanisa liliwafanya kitu mbaya sana.
Hiyo sio teknolojia/ uchawi. Ni ugonjwa wa akili kama ugonjwa mwingine..weee jamaa!!!!,haiwezekani nimkute mwanamke uchi usiku akiwa anacheza ngoma alaf uniambie eti ni tknolojia!!
noma!!Hiyo sio teknolojia/ uchawi. Ni ugonjwa wa akili kama ugonjwa mwingine..
wee jamaa acha kabisa!!!,,,,,unakumbuka popobawa-z-bar?,,,mazingaombwe yapo mazee,,nakumbuka nilipokuwa nasoma shule ya msingi,kulikuwa na wanamazingaombwe wakija kufanya michezo yao mashuleni!!,,,sasa basi,nakumbuka mwanamazingaombwe alisha geuza ute wa yai kuwa mkufu dhahabu nilishangaa sana,lakini kuja kuamka asubui ule mkufu sikuuona!!!,,,haya mambo yapo mjomba!!!!!Hakuna kitu kama chuma ulete, ni wizi tu kama wizi mwingine..
Sasa si umeshasema ni mazingaombwe, maana yake ni tricks tu.., hata wewe ukizijua hizo tricks unaweza kufanyawee jamaa acha kabisa!!!,,,,,unakumbuka popobawa-z-bar?,,,mazingaombwe yapo mazee,,nakumbuka nilipokuwa nasoma shule ya msingi,kulikuwa na wanamazingaombwe wakija kufanya michezo yao mashuleni!!,,,sasa basi,nakumbuka mwanamazingaombwe alisha geuza ute wa yai kuwa mkufu dhahabu nilishangaa sana,lakini kuja kuamka asubui ule mkufu sikuuona!!!,,,haya mambo yapo mjomba!!!!!
trics ndo uchawi wenyewe mkuu!!Sasa si umeshasema ni mazingaombwe, maana yake ni tricks tu.., hata wewe ukizijua hizo tricks unaweza kufanya
Tricks sio teknolojia/ Uchawi.., ni magic tricks / Mazingaombwe , hakuna technology ndani yake, bali ni ujanja ujanja wa kiini macho kudanganya hadhira kwamba una teknolojia/ uchawi flani wakati huna..trics ndo uchawi wenyewe mkuu!!
Uchawi ni imani, a belief just kama religion, but haina practicality or huwezi ku touch wala ku proveBinafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'.
Fikiria enzi za Yesu uende na smartphone uanze kupiga watu picha au uanze kupiga video call , hapo hapo utadakwa na kuchomwa moto na Kanisa kwa shutuma za uchawi.
Ni kama wale waliosema Dunia haipo katikati, au Dunia sio 'Flat'; kanisa liliwafanya kitu mbaya sana.