Akifanya mzungu inaitwa 'Teknolojia', akifanya Mwafrika inaitwa 'Uchawi', kwanini inakuwa hivi lakini?

Akifanya mzungu inaitwa 'Teknolojia', akifanya Mwafrika inaitwa 'Uchawi', kwanini inakuwa hivi lakini?

Binafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'.

Fikiria enzi za Yesu uende na smartphone uanze kupiga watu picha au uanze kupiga video call , hapo hapo utadakwa na kuchomwa moto na Kanisa kwa shutuma za uchawi.

Ni kama wale waliosema Dunia haipo katikati, au Dunia sio 'Flat'; kanisa liliwafanya kitu mbaya sana.
Acha, mbwembwe, tekinolojia, inaelezeka, ni, fizikia, chemistry, matter in relation to energy, huwezi kulinganisha, na kuoga maji ya, maiti, kupiga ramli,kupereka kuku mweusi kwa mganga, na mailizi kibao yaliojaa vichwa vya mijusi.
 
Hayo mambo ya kuoga maji, kuku mweusi sio uchawi, ni utapeli wa baadhi ya waganga njaa, kwa kutumia mbinu inaitwa ‘PLACEBO’, ni utaoeli tu, hamna uchawi hapo. Tafuta maana ya ‘Placebo’, itakusaidia..

Hiyo fizikia unaita Teknolojia kwa sababu unaijua..
 
Upo vizuri, haya sasa, wanafalsafa toeni mapovu yenu. Toa hilo hirizi unaloficha mfukoni na ulining'inize shingoni kama unavyofanya kwa tasbihi. Ni utamaduni wako, usiogope.
 
Binafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'.

Fikiria enzi za Yesu uende na smartphone uanze kupiga watu picha au uanze kupiga video call , hapo hapo utadakwa na kuchomwa moto na Kanisa kwa shutuma za uchawi.

Ni kama wale waliosema Dunia haipo katikati, au Dunia sio 'Flat'; kanisa liliwafanya kitu mbaya sana.
weee jamaa!!!!,haiwezekani nimkute mwanamke uchi usiku akiwa anacheza ngoma alaf uniambie eti ni tknolojia!!
 
Teknolojia inatumia mifumo inayopigia hesabu za kimaandishi na kisayansi
Teknolojia mungu ameileta ili kutokomeza uchawi na ulozi ndio maana ukitumia teknolojia uchawi unashindwa kwa mfano pesa zako ukiziweka benki au ukizihesabu na kuhifadhi Kumbukumbu uka deposit bank zinabaki salama kuliko kuweka kwenye kibubu cctv kamera zinarekodi kilabkitu adi wachawi wanaonekana ....kibubi Cha mbao chumaulete anafanya yake lakini self ya chuma chumaulete hapenyi....
So TEKNOLOJIA NI MBADALA NA KOMESHA YA UCHAWI
 
Hakuna kitu kama chuma ulete, ni wizi tu kama wizi mwingine..
 
Hakuna kitu kama chuma ulete, ni wizi tu kama wizi mwingine..
wee jamaa acha kabisa!!!,,,,,unakumbuka popobawa-z-bar?,,,mazingaombwe yapo mazee,,nakumbuka nilipokuwa nasoma shule ya msingi,kulikuwa na wanamazingaombwe wakija kufanya michezo yao mashuleni!!,,,sasa basi,nakumbuka mwanamazingaombwe alisha geuza ute wa yai kuwa mkufu dhahabu nilishangaa sana,lakini kuja kuamka asubui ule mkufu sikuuona!!!,,,haya mambo yapo mjomba!!!!!
 
Sasa si umeshasema ni mazingaombwe, maana yake ni tricks tu.., hata wewe ukizijua hizo tricks unaweza kufanya
 
trics ndo uchawi wenyewe mkuu!!
Tricks sio teknolojia/ Uchawi.., ni magic tricks / Mazingaombwe , hakuna technology ndani yake, bali ni ujanja ujanja wa kiini macho kudanganya hadhira kwamba una teknolojia/ uchawi flani wakati huna..
 
Usingeweza kwenda na smartphone kabla ya ugunduzi wa CHIP hivyo information nyingi kuweza kuwepo kwenye eneo dogo na bila network simu ingekuwa kasha tu..., nachotaka kusema sayansi na ugunduzi / teknolojia ni process na mambo yanakwenda hatua kwa hatua...,

Sasa tukija kwenye mambo ya kufikirika mfano watu kupaa na mifagio (ulaya) au huku na Ungo; sababu hatujawahi ku prove kama kweli kuna mtu anafanya hivyo zaidi ya kuchoma moto watu (witch burning huko ulaya) au huku kusingiziana na watu kuacha kusemezana); nadhani hilo libakie kwenye mambo ya kufikirika mpaka vinginevyo tukipata proof na ni vipi yanayafanyika ndio tutayapandisha daraja...
 
Binafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'.

Fikiria enzi za Yesu uende na smartphone uanze kupiga watu picha au uanze kupiga video call , hapo hapo utadakwa na kuchomwa moto na Kanisa kwa shutuma za uchawi.

Ni kama wale waliosema Dunia haipo katikati, au Dunia sio 'Flat'; kanisa liliwafanya kitu mbaya sana.
Uchawi ni imani, a belief just kama religion, but haina practicality or huwezi ku touch wala ku prove

Mzungu process inaonekana kuanzia mwanzoni mapaka product, na inaonekana imekuwaje mpaka imetokea.
Tech sio imani, ni actual science
 
Back
Top Bottom