JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Acha, mbwembwe, tekinolojia, inaelezeka, ni, fizikia, chemistry, matter in relation to energy, huwezi kulinganisha, na kuoga maji ya, maiti, kupiga ramli,kupereka kuku mweusi kwa mganga, na mailizi kibao yaliojaa vichwa vya mijusi.Binafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'.
Fikiria enzi za Yesu uende na smartphone uanze kupiga watu picha au uanze kupiga video call , hapo hapo utadakwa na kuchomwa moto na Kanisa kwa shutuma za uchawi.
Ni kama wale waliosema Dunia haipo katikati, au Dunia sio 'Flat'; kanisa liliwafanya kitu mbaya sana.