Naona watu bado wanahitaji Sana Financial and investment education,
Shida Sio unaingiza kiasi Gani cha pesa per day, shida Sio unawekeza kiasi Gani kama capital.
Kwanza tunaangalia risk ya kupoteza origin capital.
Ukichukua 100m unainvest kwenye duka ni rahisi Sana kupoteza mtaji wote kwasababu costumers ndio wanadetermine money flow kwenye biashara yako
Tofauti na biashara ya usafirishaji ambapo money floor inategemea na root zako kila siku.
Kingine watu wanahangaika kutafuta passive income( with little supervision)
Sasa MTU ameinvest 100m let's say kila day anapata 100k hapo ameshatoa gharama zote za uendeshaji wakati huo huo ana comprehensive insurance kuna shida Gani??
Hatuangalii Biashara inatoa shingapi tunaangalia tunabiashara ngapi ambazo zinatoa faida kidogo kidogo Ila tukijumlisha tunapata Hela nyingi na biashara hizo zinajiendesha na kuna kuwa na uhakika wa mtaji wetu kuwa safe