Akili gani hii mtu ananunua costa milion 100 kwa ajili ya kupewa laki 1 kwa siku

Binadamu tuna akiri ya ajabu sana, na hiyo hela una kuta haijatokana na Costa. Sasa badala kuimarisha biashara iliyo mpa hiyo 100m, mtu anaenda kununua au kuingia kwenye biashara nyingine
kuna biashara zinafika climax haziongezeki tena wateja.
real invester must have multiple income sources.
 
w
well said. am off.
 
Biashara kichaa hiyo
Sasa ingekuwa biashara kichaa isiyo na faida si watu wangelishaacha kununua na usafiri ungekuwa shida!
Na kila kukicha kila njia zinazidi kijazana maanake Kuna faida ndo maana watu wanazidi kufanya biashara hiyo.
Wewe ima unataka kuwekeza huko Ila umeleta ili upata taarifa kijanja
Au unataka uambiwe namna gani watu wanakusanya hela kwa biashara hiyo ...

Usisahau hakuna tajiri au mfanyabiashara yoyote duniani ATAKUAMBIA namna ya kupata faida hayupo so sidhani mtego wako Kama utawanasa watu humu.,😂
 
Labda victor costa wa simba ndo milioni 100
 
Biashara kichaa hiyo
We kiazi kwanza sio mfanyabiashara. Hamnaga mfanyabiashara anayekaa kuponda business za wenzake. Kama ulikua hujui hamna biashara isiyokuwa na risk wala ukichaa. Ukute hata leseni ya udereva huna kazi kuponda business za usafirishaji, na ukute hzo costa ndo unazipanda kila cku. Endelea na ajira yako tu.
 
Bado hajabeba maiti na utalii
 

Kuna coaster ya 100m kweli?
 
Kwani Kodi ya meza bei gani,kwanini usitueleze kwa kuipenda ccm tumewekeza bei zaidi ya trillion za Musk na bado bajeti ya trillion 50 hatujafikia na hata nusu,jasho linagonga Kizmkazi,my friend watu wanapambania ada,Kodi ya meza na kutoka out kidogo vacation yenyewe nchi hii ni uchawi,hebu tuanzie kwenye ccm ya parachichi kilo kwa miatano na kutapakaa kwa matapeli hai kila Kona huenda hicho unachoamini pia ni utapeli buda.
 
Very true,. Vinginevyo Kila biashara itaonekana haifai,.
 
M
mmmmh youtong 250M?
Siyo 400M
 
Vipi ikipiga mzinga ikabaki skrepa
Kwan Bima kazi yake ni nn? Hv niweke 60/70m na najua chombo kinapiga kazi daily alafu nisikikatie bima? Kwanza iyo mizinga ipo kwenye vyombo vya moto tu? Huo mzinga wa mafremu ya kariakoo umeusahau? Kuungua? Fremu kuvunjwa (wizi). Kaa ukijua hamna baishara isiyokuwa na risk na ukichaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…