Akili gani hii mtu ananunua costa milion 100 kwa ajili ya kupewa laki 1 kwa siku

Stori yako ni ya uongo tupu
 
Umeona sasa

Nimekuambia wewe ni immature person ambaye upo financial broke ambaye umekosa mwelekeo unatafuta matumaini mitandaoni
Narudia tena mkuu Mimi sijakusababishia umasikini usinichukie 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huku JF bana unaweza dhani ni watu tofauti na ninaowaona huku uraiani.

Kila biashara ni kichaa; karibia kila kitu ni ubatili.
Nahisi ndio maana watu wanakimbilia kwenye siasa ambalo kuna hela na fursa za kugawana
 
Mkuu mbona unhasira na Mimi sijakusababishia huo umasikini wako lakini pambana tu na Hali yako ndio maisha hayo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Binadamu tuna akiri ya ajabu sana, na hiyo hela una kuta haijatokana na Costa. Sasa badala kuimarisha biashara iliyo mpa hiyo 100m, mtu anaenda kununua au kuingia kwenye biashara nyingine
Hahaha ni kituko🤣🤣🤣
 
Wewe umewekeza kiasi gani kwa biashara ipi? Usikute wewe hata basikeli mbovu huna alafu unamwita mtu anaenunua coaster eti "kichaa"
 
Hahaha kumbe inaizidi milion 100 akili Gani hii na bima umekata unalipia Kila mara inamaana uwekezaji umezidi milion 100 Ili upewe laki 1 aisee mtu mweusi akili hana🤣🤣🤣🤣
 
Samahani mkuu ulishawahi kumiliki hata guta Ili nijue unaufahamu Gani kwenye haya mambo ya usafiri
Wewe umekuja kuropoka humu kua ni biashara ya "kichaa", taja biashara unayoona inafana kwa hiyo bei vinginevyo unataka thread intrend na kutafuta attention
 
Milioni 100 unachukua costa mbili na gari nyingine ndogo.
Bottom kine kila mtu ana investiment yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…