Akili gani hii mtu ananunua costa milion 100 kwa ajili ya kupewa laki 1 kwa siku

Wewe umekuja kuropoka humu kua ni biashara ya "kichaa", taja biashara unayoona inafana kwa hiyo bei vinginevyo unataka thread intrend na kutafuta attention
Huyo hana ajualo,wala hana uwezo wa kujibu maswali anayoulizwa hapa,

Hapo yupo sebuleni kwa shemeji yake anamenya Njegele,

Yeye mwenyewe hajikubali na anajijua kua ni hamnazo,ndio maana ana ID kibao ila akili ni ile ile tu,mara aje na ujinga kwa ID ya ChiefGodlove,mara aje na ID ya christopherPaul15,mara atumie ile ID ya Football,halafu kuna hii ID anayoitumia hapa,

Kifupi haka katoto hakana kazi ya kufanya,ukiunganisha threads zake za ID zote ndio unagundua hilo,

Huyu kichwa Panzi ni wakumpotezea tu,amekuja tu kupoteza muda hapa ili kusubiri muda wa Ugali wa shemeji.
 
Mkuu hasira za nini unaandika gazeti refuu Mimi sijakusababishia umasikini wako ulionao pambana tu na Hali yako kama maisha magumu achana nayo uende ukaishi kwingine naona unahasira na Mimi kama ndio nimekusababishia umasikini wako unaokukabili aisee kweli jua kali🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nimeipenda hii
 
Hahaha kumbe inaizidi milion 100 akili Gani hii na bima umekata unalipia Kila mara inamaana uwekezaji umezidi milion 100 Ili upewe laki 1 aisee mtu mweusi akili hana🤣🤣🤣🤣
Nishaona huna unalojua kuhusu biashara yoyote ile. Hujui hata bima inalipiwa kwa mda gani na hujui bima zipo za aina ngapi. Hv una hata NHIF ww? Sidhani kama unayo, coz ungekuwa nayo usinge-reply huo ujinga.

Eti "mtu mweusi akili hana", we ni mtu mweupe sio? Moja ya mtu mweusi ambaye nae hana akili we ni mmoja wapo.
 
Mimi sio mweusi nitake radhi halafu pili hiyo biashara kichaa wanafanya machizi kuwekeza zaidi ya million 100 kupata laki 1 ambayo siku nyingine dereva analeta magumashi akili Gani hii🤣🤣🤣🤣
 
Huyu ana tofauti gani na mtu anayejenga nyumba ya sh.mil.300,halafu anapangisha kodi laki 5 kwa mwezi,kwa mwaka mil.6 na mpk hela irudi itachuka miaka 50,then aanze kutengeneza faida...?
 
Mimi nina uwezo wa kuwalisha ukoo wenu wote mpaka mtakapo maliza maisha yenu hapa Duniani,

Nyie ndio mnaoichafua JF kwa kuleta viuza vya kijinga jinga,unaulizwa maswali unaishia kujiuma kucha tu kama vile unatongozwa.
 
Nenda Temboni uliza jamaa anaitwa Mboe(Mbowe), ana daladala kama uchafu(Top Jesus Group), yeye ni mechanic so kazi zake anafanya mwenyewe. Ananunua body, engine na kutengeneza gari zake mwenyewe.

That mofo must be very rich now, gari yake ikipata brakedown inakuwa fixed right on spot na kurudi barabarani.

Wewe unayenunua coaster kwa 100m tena moja tu na kuiingiza barabarani tena sio special hire lazima uingie loss tu.
 
Mimi nina uwezo wa kuwalisha ukoo wenu wote mpaka mtakapo maliza maisha yenu hapa Duniani,

Nyie ndio mnaoichafua JF kwa kuleta viuza vya kijinga jinga,unaulizwa maswali unaishia kujiuma kucha tu kama vile unatongozwa.
Hahahaha eti kutulisha ukoo wetu wote masikini bhana mnakuaga na hasira Kwa watu msiowajua sijui kwanini pambana tu na Hali yako Wala Mimi sijakusababishia huo umasikini wako umenikuta tu hapa jamii forum naperuzi maisha ukiyaona magumu achana nayo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hahahaha sahihi kabisa
 
Na mimi nilihisi atakua ni huyo foatball au mshangazi maana ndio akili zao hao
 
Lakini hizo Costa kila siku zinanunuliwa na zinajaa barabarani.
Unataka kutuamaminisha humu kuwa hao watu wote ni wajinga na hawajui wanachokifanya??
Watu wengi kufanya haimaanishi biashara inalipa ila watu weng ni wavivu wa kufikili nani wavivu kusimamia biashara km ya duka so wanaona ni bora nimiliki gar mahesabu jion

Wabongo weng tunaingiaga kwa biashara kwa kuangalia watu ila sio kwa kufanya utafiti na kujua faida na hasara

Ni km mtu anaetoa milion10 kununua bajaji wakat kwa iyo milion 10 unaweza fanya biashara kubwa tu na ukaingiza pesa mara 10 ya ile utakayo ingiza kila sku kwenye bajaj
 
Endelea tu kujifariji hapa JF,

Unaanzisha uzi wa kulalamika hela yako ya kubeti imeisha kimaajabu!

Unalaumu wanao invest kwenye vyombo vya usafiri halafu wewe una risk hivyo visent vyako kwenye kubet, kubet ndio biashara ya uhakika?

JF ina watu wana maisha yao,wanakuangalia tu unavyohangaika,vipi kile ki screen shot chako cha milioni 10 bado unacho? Naona bado hujakipost hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…