joseph_mbeya
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,123
- 2,935
Kwakweli hii thread imekaa kiMkakati sanaWewe utakuwa una fanya utafiti unataka uvute chuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli hii thread imekaa kiMkakati sanaWewe utakuwa una fanya utafiti unataka uvute chuma
8618837100965 +255 625 836 833.Nitumie
Huyo hana ajualo,wala hana uwezo wa kujibu maswali anayoulizwa hapa,Wewe umekuja kuropoka humu kua ni biashara ya "kichaa", taja biashara unayoona inafana kwa hiyo bei vinginevyo unataka thread intrend na kutafuta attention
Mkuu hasira za nini unaandika gazeti refuu Mimi sijakusababishia umasikini wako ulionao pambana tu na Hali yako kama maisha magumu achana nayo uende ukaishi kwingine naona unahasira na Mimi kama ndio nimekusababishia umasikini wako unaokukabili aisee kweli jua kali🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyo hana ajualo,wala hana uwezo wa kujibu maswali anayoulizwa hapa,
Hapo yupo sebuleni kwa shemeji yake anamenya Njegele,
Yeye mwenyewe hajikubali na anajijua kua ni hamnazo,ndio maana ana ID kibao ila akili ni ile ile tu,mara aje na ujinga kwa ID ya ChiefGodlove,mara aje na ID ya christopherPaul15,mara atumie ile ID ya Football,halafu kuna hii ID anayoitumia hapa,
Kifupi haka katoto hakana kazi ya kufanya,ukiunganisha threads zake za ID zote ndio unagundua hilo,
Huyu kichwa Panzi ni wakumpotezea tu,amekuja tu kupoteza muda hapa ili kusubiri muda wa Ugali wa shemeji.
Nimeipenda hiiNaona watu bado wanahitaji Sana Financial and investment education,
Shida Sio unaingiza kiasi Gani cha pesa per day, shida Sio unawekeza kiasi Gani kama capital.
Kwanza tunaangalia risk ya kupoteza origin capital.
Ukichukua 100m unainvest kwenye duka ni rahisi Sana kupoteza mtaji wote kwasababu costumers ndio wanadetermine money flow kwenye biashara yako
Tofauti na biashara ya usafirishaji ambapo money floor inategemea na root zako kila siku.
Kingine watu wanahangaika kutafuta passive income( with little supervision)
Sasa MTU ameinvest 100m let's say kila day anapata 100k hapo ameshatoa gharama zote za uendeshaji wakati huo huo ana comprehensive insurance kuna shida Gani??
Hatuangalii Biashara inatoa shingapi tunaangalia tunabiashara ngapi ambazo zinatoa faida kidogo kidogo Ila tukijumlisha tunapata Hela nyingi na biashara hizo zinajiendesha na kuna kuwa na uhakika wa mtaji wetu kuwa safe
Nishaona huna unalojua kuhusu biashara yoyote ile. Hujui hata bima inalipiwa kwa mda gani na hujui bima zipo za aina ngapi. Hv una hata NHIF ww? Sidhani kama unayo, coz ungekuwa nayo usinge-reply huo ujinga.Hahaha kumbe inaizidi milion 100 akili Gani hii na bima umekata unalipia Kila mara inamaana uwekezaji umezidi milion 100 Ili upewe laki 1 aisee mtu mweusi akili hana🤣🤣🤣🤣
Mimi sio mweusi nitake radhi halafu pili hiyo biashara kichaa wanafanya machizi kuwekeza zaidi ya million 100 kupata laki 1 ambayo siku nyingine dereva analeta magumashi akili Gani hii🤣🤣🤣🤣Nishaona huna unalojua kuhusu biashara yoyote ile. Hujui hata bima inalipiwa kwa mda gani na hujui bima zipo za aina ngapi. Hv una hata NHIF ww? Sidhani kama unayo, coz ungekuwa nayo usinge-reply huo ujinga.
Eti "mtu mweusi akili hana", we ni mtu mweupe sio? Moja ya mtu mweusi ambaye nae hana akili we ni mmoja wapo.
Huyu ana tofauti gani na mtu anayejenga nyumba ya sh.mil.300,halafu anapangisha kodi laki 5 kwa mwezi,kwa mwaka mil.6 na mpk hela irudi itachuka miaka 50,then aanze kutengeneza faida...?Hii ni biashara nyingine kichaa yaani unawekeza milion 100 Kwa ajili ya laki 1 Kwa siku na hiyo pesa unalipata kkwa mbinde na siku nyingine utaletewa mpaka elfu 50.
Aisee huyu mtu anaakili timamu kweli yaani mwaka unaisha hata nusu ya Bei alionunulia kicosta chake haijarudi yaani hapo bado hata ajali haijapata ambapo inaweza kupata mzinga ukaambulia skrepa aisee mtu mweusi anasafari ndefu Sana ya utajiri duniani.
Mimi nina uwezo wa kuwalisha ukoo wenu wote mpaka mtakapo maliza maisha yenu hapa Duniani,Mkuu hasira za nini unaandika gazeti refuu Mimi sijakusababishia umasikini wako ulionao pambana tu na Hali yako kama maisha magumu achana nayo uende ukaishi kwingine naona unahasira na Mimi kama ndio nimekusababishia umasikini wako unaokukabili aisee kweli jua kali🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahaha eti kutulisha ukoo wetu wote masikini bhana mnakuaga na hasira Kwa watu msiowajua sijui kwanini pambana tu na Hali yako Wala Mimi sijakusababishia huo umasikini wako umenikuta tu hapa jamii forum naperuzi maisha ukiyaona magumu achana nayo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi nina uwezo wa kuwalisha ukoo wenu wote mpaka mtakapo maliza maisha yenu hapa Duniani,
Nyie ndio mnaoichafua JF kwa kuleta viuza vya kijinga jinga,unaulizwa maswali unaishia kujiuma kucha tu kama vile unatongozwa.
Akili box hapo Bora ujenge ukae mwenyewe tu ufie kwenye nyumba YakoHuyu ana tofauti gani na mtu anayejenga nyumba ya sh.mil.300,halafu anapangisha kodi laki 5 kwa mwezi,kwa mwaka mil.6 na mpk hela irudi itachuka miaka 50,then aanze kutengeneza faida...?
Hahahaha sahihi kabisaNenda Temboni uliza jamaa anaitwa Mboe(Mbowe), ana daladala kama uchafu(Top Jesus Group), yeye ni mechanic so kazi zake anafanya mwenyewe. Ananunua body, engine na kutengeneza gari zake mwenyewe.
That mofo must be very rich now, gari yake ikipata brakedown inakuwa fixed right on spot na kurudi barabarani.
Wewe unayenunua coaster kwa 100m tena moja tu na kuiingiza barabarani tena sio special hire lazima uingie loss tu.
Jamaa akitoka selo mzigo umekata!!Kasusura alizinunua za kutosha😅🤣😂
🚮🚮Mimi sio mweusi nitake radhi halafu pili hiyo biashara kichaa wanafanya machizi kuwekeza zaidi ya million 100 kupata laki 1 ambayo siku nyingine dereva analeta magumashi akili Gani hii🤣🤣🤣🤣
Na mimi nilihisi atakua ni huyo foatball au mshangazi maana ndio akili zao haoHuyo hana ajualo,wala hana uwezo wa kujibu maswali anayoulizwa hapa,
Hapo yupo sebuleni kwa shemeji yake anamenya Njegele,
Yeye mwenyewe hajikubali na anajijua kua ni hamnazo,ndio maana ana ID kibao ila akili ni ile ile tu,mara aje na ujinga kwa ID ya ChiefGodlove,mara aje na ID ya christopherPaul15,mara atumie ile ID ya Football,halafu kuna hii ID anayoitumia hapa,
Kifupi haka katoto hakana kazi ya kufanya,ukiunganisha threads zake za ID zote ndio unagundua hilo,
Huyu kichwa Panzi ni wakumpotezea tu,amekuja tu kupoteza muda hapa ili kusubiri muda wa Ugali wa shemeji.
Watu wengi kufanya haimaanishi biashara inalipa ila watu weng ni wavivu wa kufikili nani wavivu kusimamia biashara km ya duka so wanaona ni bora nimiliki gar mahesabu jionLakini hizo Costa kila siku zinanunuliwa na zinajaa barabarani.
Unataka kutuamaminisha humu kuwa hao watu wote ni wajinga na hawajui wanachokifanya??
Endelea tu kujifariji hapa JF,Hahahaha eti kuwalisha ukoo wenu wote masikini bhana mnakuaga na hasira Kwa watu msiowajua sijui kwanini pambana tu na Hali yako Wala Mimi sijakusababishia huo umasikini wako umenikuta tu hapa jamii forum naperuzi maisha ukiyaona magumu achana nayo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣