Akili gani hii ya Kiafrika! Viwanja vya ndege vimefungwa na mashirika ya meli kubadili njia. Kenya na Malawi wanawaza kupeleka vibarua Israel

sir why don't you snap out

find real target then quit that job
 
Gaza mpakani na Isael.kuko salama

Hamas walishatimuliwa panakaliwa na Jeshi la Israel robo tatu ya eneo lote la Gaza liko mikononi mwa Israel .Hamasi hawana ubavu Tena wa kurusha hata jiwe kwenye eneo la Israel lliko salama vita ya Sasa inapiganwa ndani ya Gaza Tena maeneo ya ndani huko mipakani na nchi zingine sio Israel

Lengo la kwanza kivita la Israel ilikuwa kuwatoa Hamas mikoa yote mpakani na Israel na kuikalia kijeshi na wameweza wao ndio watawala wa Gaza Kwa Sasa hakuna serikali ya Hamas Wala mjumbe wa nyumba kumi wa Hamasi
Upande wa Israel Kiko salama maisha yanaendelea kama kawaida
 
Basi basi basi inatosha mkuu.

Halafu kule watu hawatumii nguvu saaana, ni mashine tu.
 
Mkienda kufa huko hatutaki malalamiko humu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Endelea kusubiri mpaka dada Yako amfurahishe shemeji Yako ndio upate hela ya bando ya kuja kuandika ujinga humu ndani huku watu wakiendelea na shughuli zao kama kawaida.
Nendeni tu ila mkienda kifirwa na kuuawa huko hatutaki malalamiko ya kuja kufungua nyuzi kila sekunde humu mkijiliza na kuwaita Hamas magaidi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unaacha kufikiria waafrika wanaojiunga na Al Shabaab, Al Qaeda, Bokoharam etc unakosoa watu walioenda Israel kwa ajili ya mafunzo! Ni aheri hata ungepinga waafrika wanaonyanyisika kwenye kazi majumbani huko Uarabuni.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mkienda kufa huko hatutaki malalamiko humu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Siogopi kifo,death ni something constant,kitu pekee binadamu anapaswa kuogopa ni kuzaliwa tu,ila ukishazaliwa jiadae kufa,korona imeuwa watanzania wengi about 1000+,wewe uliye hai uriathirika vipi na vifo vya hao watanzania!?
 
Mkuu
Ninaanza kuona hizi vita ni population control plan.

Waache waende
 
Wako wanaokwenda kufanya kazi majumbani tena kwa hiyari zao na hakuna malalamiko ya maana wanayokuja nayo.Kama ni kweli yale yanayotajwa wangerudi.
Ama kuhusu wanaojiunga na akina bokoharam ni watu hewa kwa vile hayo makundi ni makundi hewa yanayojulikana zaidi na Marekani na wenzake
 
Hakuna cha vibarua wa mashambani wala manamba,hao wanaenda kupiga day work ndani ya IDF kulinda kupukutika kwa wanajeshi wao.
 
Siogopi kifo,death ni something constant,kitu pekee binadamu anapaswa kuogopa ni kuzaliwa tu,ila ukishazaliwa jiadae kufa,korona imeuwa watanzania wengi about 1000+,wewe uliye hai uriathirika vipi na vifo vya hao watanzania!?
Corona imeuwa watu 1000 nani kasema
 
Wanaojikomba kwao , wala hawana habari nao , eti nao wanataka kubarikiwa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Ndio utalipwa 4m utaacha shikingi ngapi hapo au unafikri utakuja nayo yote

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
hamas hawafi ? Wanashindwa kuwalenga wayaudi wanaua waafrika na ww unashabikia , mtu mweusi kalaaniwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…