Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
sir why don't you snap outMim nishasema hao waizrael wakija bongo kusaka nguvu kazi mimi nitakuwa wa kwanza,niko radhi kuacha ualimu ili nikasotee kibarua cha 4M kwa mwezi,ualimu wangu ninao kwa zaidi ya miaka 10 hadi sasa nalipwa 780K kama basic,na take home ni 500K,jumlisha na madeni ya benki nabakiwa na 200K kwa mwezi,kwa mwaka mmoja ninaingiza 2M+,wakati nikienda huko kwa mwaka nitakuwa na 48M,nikipiga miaka miwili tu ninakuwa na 96M,wakati kwa ualimu wangu kwa miaka miwili nitakuwa na 4M+ .
Kifo kipo tu,hata leo tukifatilia ni watanzania wangapi wamekufa ni almost 200 nchi nzima,japo nchi yetu haiko vitani.
Mama aruhusu waizrael waje kuchukua nguvu kazi.
find real target then quit that job