Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Atakuwa na tatizo la afya ya akiliBw Magori amepost kwenye page yake akionekana kumtuhumu Kipa wetu Camara kuwa hakuwa sababu ya kuurukia ule mpira akiamini Camara alifanya mchongo
Magori wewe ni mtu makini sana na watu wanakuamini mno, kwamba Camara kachonga ishu sikubaliani na ww hata kidogo
Kama lawama basi apewe Kijiri aliyejifunga na sio Camara
Tujipange, Sasa hv kufungwa na Yanga sio ishu tena
Kama Magori amesema hivyo basi hana akili timamu.Bw Magori amepost kwenye page yake akionekana kumtuhumu Kipa wetu Camara kuwa hakuwa sababu ya kuurukia ule mpira akiamini Camara alifanya mchongo
Magori wewe ni mtu makini sana na watu wanakuamini mno, kwamba Camara kachonga ishu sikubaliani na ww hata kidogo
Kama lawama basi apewe Kijiri aliyejifunga na sio Camara
Tujipange, Sasa hv kufungwa na Yanga sio ishu tena
Mwishoni GSM atamnunua mpaka MOGSM amemnunua na Camara! Mechi za mwanzo pia alimnunua Manula!! Mechi ijayo kama vipi adake huyo Magori ili na yeye ashushiwe mvua ya magoli.
Wewe umeiona hiyo komenti ya Magori au na wewe ni mpumbavu kama mleta post?Kama Magori amesema hivyo basi hana akili timamu.
Hii Simba tulitakiwa kunyamaza tu kwani tulishapoteza derbi tatu mfululizo kabla ya hii lakini ajabu tuliruhusu midomo midomo tena ya wachezaji kutamba ujinga mtupu.
Msemaji wetu mimi nilishampuuza sana kwani huwaandaa maadui wajilinde na anakuwa motivation mkubwa kwa timu pinzani na kuwajengea kujiamini kupita kiasi timu yake matokeo ndio haya
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app