Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Koloz are very useless
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Koloz are very useless
Ni kweli kauza mechi, kila timu inayofungwa na Yanga mnasemaga hivyo. Sasa mtuambie mmepewa bei gani.Bw Magori amepost kwenye page yake akionekana kumtuhumu Kipa wetu Camara kuwa hakuwa sababu ya kuurukia ule mpira akiamini Camara alifanya mchongo
Magori wewe ni mtu makini sana na watu wanakuamini mno, kwamba Camara kachonga ishu sikubaliani na ww hata kidogo
Kama lawama basi apewe Kijiri aliyejifunga na sio Camara
Tujipange, Sasa hv kufungwa na Yanga sio ishu tena
Upo sahihi, poleni watani.Kumbe huyu Mzee Magori ni Mtu wa Ovyo kiasi hiki? Sasa Utamlaumu vipi Camara na Wakati Gori kajifunga kelvin kijiri? Kama Lawama Apewe Refa Ambaye Mpira Umetoka Lakini Yeye Akaruhusu Uchezwe By the way Tumefungwa , Pale Akuna Mchezaji yoyote wa kumlaumu, Game of chance
Ikifika mechi ya Yanga kikosi kinakua kipyaSimba tunaganga yajayo, tunajua tuna kikosi kipya na ni kizuri ni suala la muda tu
Ni kweli, Kikosi ni kipya na huwezi kukipima kwa kushinda mechi za kawaida za ligi, Binafsi nitaanza kuilaumu Simba baada ya dirisha la January maana hapa kocha amekaa na timu na amejua mchezaji yupi hafai kuichezea Simba.Ikifika mechi ya Yanga kikosi kinakua kipya
Kwenye ngao ya hisani mlisema bado hamjaungana tutakutana kwenye ligi leo tena kikosi kipya wengine Kayoko mara Camara teueni kisingizio kimojaNi kweli, Kikosi ni kipya na huwezi kukipima kwa kushinda mechi za kawaida za ligi, Binafsi nitaanza kuilaumu Simba baada ya dirisha la January maana hapa kocha amekaa na timu na amejua mchezaji yupi hafai kuichezea Simba.
Bado tunajenga timu ndio.Kwenye ngao ya hisani mlisema bado hamjaungana tutakutana kwenye ligi leo tena kikosi kipya wengine Kayoko mara Camara teueni kisingizio kimoja
Haina madhara ileKuna aliyeona camara alipigwa tochi usoni kabla chama hajapiga mpira?
Angalia vizuri marudio ya ile faulo halafu angalia camara wakati anapanga mabeki wake pale chini,
Utaona kitochi rangi kijani usoni mwake.
halafu kwa mtu mkubwa kama yy .. simba isajir wachezajiwenye. Sifa.Mistake ya kawaida, acheni lawama zisizo na sababu.