NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Huyo Magori ni mpuuzi ,
Mangungu na benchi la ufundi ndio shidaBw Magori amepost kwenye page yake akionekana kumtuhumu Kipa wetu Camara kuwa hakuwa sababu ya kuurukia ule mpira akiamini Camara alifanya mchongo
Magori wewe ni mtu makini sana na watu wanakuamini mno, kwamba Camara kachonga ishu sikubaliani na ww hata kidogo
Kama lawama basi apewe Kijiri aliyejifunga na sio Camara
Tujipange, Sasa hv kufungwa na Yanga sio ishu tena