NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Mangungu na benchi la ufundi ndio shidaBw Magori amepost kwenye page yake akionekana kumtuhumu Kipa wetu Camara kuwa hakuwa sababu ya kuurukia ule mpira akiamini Camara alifanya mchongo
Magori wewe ni mtu makini sana na watu wanakuamini mno, kwamba Camara kachonga ishu sikubaliani na ww hata kidogo
Kama lawama basi apewe Kijiri aliyejifunga na sio Camara
Tujipange, Sasa hv kufungwa na Yanga sio ishu tena
Ndivyo walivyozoeshana na viongozi wao ili mradi tu isionekane walifungwa na Yanga kwa kuzidiwa bali kwa bahasha. Kumbuka mechi ya 1-5 ilivyoisha tu eti wakatangaza wachezaji kadhaa kusimamishwa kwasababu ya tuhuma za rushwa dhidi ya Yanga. Halafu cha ajabu mazoezini Bunju wanaonekana. Viongozi wa Simba wameshaona fasheni kuwachonganisha wachezaji na mashabiki ilimradi wao wawe salama juu ya matokeo dhidi ya YangaManeno haya hayafai kuongea kiongozi mkubwa kama yy,kwanza italeta frustration kubwa sana kwa wachezaji kwenye timu,sometimes wanaweza wakapoteza hata michezo ijayo.Haya maneno ni ya kuongea mshabiki na si kiongozi.
Acha wapanic uyo kipa si alikuwa anafananishwa na diarra sasa wameanza kuona ni pazia kama sio shuka🤣🤣🤣Washaanza kupanic
Siku sio nyingi kamara anaachwa
Mkuu wewe na Magori mnaingia kwenye kundi mmoja....... sasa pale utamlaumi vipi Kijili?Bw Magori amepost kwenye page yake akionekana kumtuhumu Kipa wetu Camara kuwa hakuwa sababu ya kuurukia ule mpira akiamini Camara alifanya mchongo
Magori wewe ni mtu makini sana na watu wanakuamini mno, kwamba Camara kachonga ishu sikubaliani na ww hata kidogo
Kama lawama basi apewe Kijiri aliyejifunga na sio Camara
Tujipange, Sasa hv kufungwa na Yanga sio ishu tena
HAkuna bahati ni uchaiwi tuMkuu wewe na Magori mnaingia kwenye kundi mmoja....... sasa pale utamlaumi vipi Kijili?
Ni ngumu sana kuokoa mpira unaopota kwenye chaki ya goli huku ukiwa umeupa mgongo uwanja
Binafsi naamini ni bahati tu leo ilikua upande wa Yanga