Akili inakataa kuwa Camara kauza gemu ile, Nakuomba sana Magori msifikie huko

Magori akili imeisha kabisa, kwa vile yeye alitumika kununua mechi basi anadhani kila mtu anafanya hivyo, hivi kwanini alirejeshwa Simba na alirejeshwa na nani?
 
Kipa hakuuza mechi lakini lile goli ni uchawi mtupu, sijawahi kuona kipa akiurejesha mpira ndani ili afungwe, ule ni uchawi 100%
 
Shida ya simba inaanzia kwenye management kule juu lakini hawashtuki engineer hersi anawazunguka.
Na atawazunguka sana kama ameshaiweka management yenu mfukoni amebakiza kuwaweka wanachama wenu mfukoni🤣🤣🤣
 
Kipa hakuuza mechi lakini lile goli ni uchawi mtupu, sijawahi kuona kipa akiurejesha mpira ndani ili afungwe, ule ni uchawi 100%
KIZAZI KINACHOAMINI UCHAWI NA USHIRIKINA . SOMESHENI WATOTO WENU ILI WASIWE WAJINGA KAMA NYIE.
 
Simba mchezaji wa maana ni Debora wengine wote ni upupu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…