THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Kwa hiyo alitaka kuthibitisha kama maandamano ya barabarani yameamia jukwaani?Mimi ni mmoja wa watu ambao nimemfatilia sana Mwana FA toka akiwa msanii hadi pale alipoanza siasa mwanzon ila baadae nikaja nikaacha.
Sifikirii kua na sitaki kuamini kua Mwana FA niliekua namjua atakua kabadilika hapana.
Ninachokijua kuhusu Mwana FA ni kua ni mtu ambae ametokea Mtaani ni mtu ambae amekaaa mitandaoni amejifunza mengi mitandaoni na kuna wakat alitumia Mitandao kutoa hoja zake kwa serikali na ushauri pia kwa mamlaka pale anapoona kuna shida.
So kupitia kufanya hivo amekua/alikua ni mtu ambae anamwingiliano mkunwa na watu ambao asilimia kubwa ni wamaisha ya chini wasio na kazi maana amekua akikutana na hoja nyingi huko zinapoibuliwa.
Huyu Mwana FA anajua kabisa fika kua Serikali iliyopo madarakani saiv haipendwi na wananchi kwa asilimia kubwa, hilo analijua kupitia mitandao.
Mwana FA hawez kukana hata kidogo kua sio mtu wa mitandao.
Mwana FA anaona namna watu hua wanaisema vibaya serikali inapotumia Majukwaa ya Michezo na Burudani kama platform ya wao kujiuza.
So niseme moja kwa Moja Mwana FA alichokifanya alikifanya makusudi akiwa anajua kabisa mitazamo ya watu ipoje..ila labda alitaka kuona je watu wana guts ya kuikataa serikali live?
Kwa bahat nzuri imekataliwa watu wamegoma...so ule ni ujumbe kautafta Mwana FA aupeleke kwa Mamlaka..
kwa yeye nina uhakika alikua anajua na anajua kabisa kua Serikali ya samia haikubaliki ila kafanya makusidi akijua matokeo yake na akitaka kua kikitokea hicho kitu kilichotokea kiwe ni kitu ambacho kitapelekea ujumbe kwa Samia na Serikali yote kwa ujumla.
Kama hivoKwa hiyo alitaka kuthibitisha kama maandamano ya barabarani yameamia jukwaani?
Shwaaaa😂😂😂Ukishakuwa CCM akili hazimo
Alipobanwa
HITIMISHO...!!
"Moja ya sababu iliyotukusanya hapa ninyi mumetuunga mkono na mnavyotaka ndivyo tunavyotaka SISI..!!
😂
Soma tena Mkuu.Mwanafa hana akili hiyo, usitake kumpamba. Alikuwa serious anaisifia serekali ili ionekane ana ushawishi kwa aliyemteua. Kwa bahati mbaya kakutana na ukweli uliwaumiza wengi.
Ya! That's the way it is!Soma tena Mkuu.
Andiko langu sijalenga kusema FA ana akili na kumpamba..bali nikuwaaambia kua FA anajua fika mtazamo wa Wananchi juu ya serikali hii coz ni mtu wa mitandaoni so kwa kile alichofanya hajafanya kwa mistake alijua kipi kitatokea mi naamini vile.
CCM hawawezi kuwa wakweli abadani kwasababu wanajua nini kitawapata hivyo hivyo kwa wakuu wa vyombo vya dola.4Rs za dhati zinahitajika ,tunapoelekea siyo pazuri.
Gwajim alishauri mambo mazuri sana ila mkamfungia kanisa.
Akili hiyo inawezekana anayo, hoja ni matumizi. Anaitumia vipi?Mwanafa hana akili hiyo, usitake kumpamba. Alikuwa serious anaisifia serekali ili ionekane ana ushawishi kwa aliyemteua. Kwa bahati mbaya kakutana na ukweli uliwaumiza wengi.
Kwa jinsi alivyopanic,ni dhahiri kwamba alikuwa kazini. Kuna alichotumwa kukisema bahati mbaya wakulungwa wakamblock kwa kumzomea!.Mimi ni mmoja wa watu ambao nimemfatilia sana Mwana FA toka akiwa msanii hadi pale alipoanza siasa mwanzon ila baadae nikaja nikaacha.
Sifikirii kua na sitaki kuamini kua Mwana FA niliekua namjua atakua kabadilika hapana.
Ninachokijua kuhusu Mwana FA ni kua ni mtu ambae ametokea Mtaani ni mtu ambae amekaaa mitandaoni amejifunza mengi mitandaoni na kuna wakat alitumia Mitandao kutoa hoja zake kwa serikali na ushauri pia kwa mamlaka pale anapoona kuna shida.
So kupitia kufanya hivo amekua/alikua ni mtu ambae anamwingiliano mkunwa na watu ambao asilimia kubwa ni wamaisha ya chini wasio na kazi maana amekua akikutana na hoja nyingi huko zinapoibuliwa.
Huyu Mwana FA anajua kabisa fika kua Serikali iliyopo madarakani saiv haipendwi na wananchi kwa asilimia kubwa, hilo analijua kupitia mitandao.
Mwana FA hawez kukana hata kidogo kua sio mtu wa mitandao.
Mwana FA anaona namna watu hua wanaisema vibaya serikali inapotumia Majukwaa ya Michezo na Burudani kama platform ya wao kujiuza.
So niseme moja kwa Moja Mwana FA alichokifanya alikifanya makusudi akiwa anajua kabisa mitazamo ya watu ipoje..ila labda alitaka kuona je watu wana guts ya kuikataa serikali live?
Kwa bahat nzuri imekataliwa watu wamegoma...so ule ni ujumbe kautafta Mwana FA aupeleke kwa Mamlaka..
kwa yeye nina uhakika alikua anajua na anajua kabisa kua Serikali ya samia haikubaliki ila kafanya makusidi akijua matokeo yake na akitaka kua kikitokea hicho kitu kilichotokea kiwe ni kitu ambacho kitapelekea ujumbe kwa Samia na Serikali yote kwa ujumla.
Sana. Alipanic kwa sababu hakutarajia kuzomewa na wakulungwa!Aiseeh! Akabakia kusema no problem. Inaonekana alikasirika sana.