Little by little it will spread...
And i hope unaelewa ambavyo foreigners huwa ignorant
Hawataki kujua ni wapi bora Tanzania imetajwa, hofu inawatanda
Hata mjaribu kuificha kivipi, news will soon come out. Tanzania slowly turning out to be the North Korea of East Africa🤣☻To your dissapointment 3 days since the event, and yet not to be seen in CNN, BBC nor Al Jazeera. Nimecheki websites zao hapa tena kwenye section specifically ya Africa. Nilichoona ni Al shabbab wameua majeshi 13 wa somali na Kenya mmetoa sentence kwa washukiwa wa wastegate.
hapo palipotekwa icho kifaa (maana ata sijaona vizuri kama ni kifaru au kitu gani, na wala sijui kama wamekiteka ama wamekuja nacho) kulikuwa na wanajeshi wangap?Hicho kifaa kilicho tekwa nyara na wanamgambo kilikuwa cha nani? Wanakijiji?
Msitubebe kiujinga, vikosi vyenu vya kivita ni hofu sana.
Kwanza hata mnayo experience ya night battles?
Hamna kitu hapo, this will be the final nail in your coffin🙆♂️ndio sababu nikakwambia utajua hujui.pale utaona namba za watalii zinazidi kupanda.
Hamna kitu hapo, this will be the final nail in your coffin[emoji2297]
Wewe ndio unafaa kuniambia, siumesema security along your border is tight na bado mkapigwa 😂hapo palipotekwa icho kifaa (maana ata sijaona vizuri kama ni kifaru au kitu gani, na wala sijui kama wamekiteka ama wamekuja nacho) kulikuwa na wanajeshi wangap?
Suala la experience ya night battle usihofu, wewe subiri soon utajua maendeleo ya huko.
Mzee, nani anaficha hio habari? 😀 mbona nimeona Garda world (G4S) wameizungumzia? Youtube habari ipo japo ni audio na still photos tuHata mjaribu kuificha kivipi, news will soon come out. Tanzania slowly turning out to be the North Korea of East Africa🤣☻
Furaha yangu aisee🙏kaa kitako ukisubiri kwa hamu tz ikisilimishwa.
Nimekwambia after the event, sasa ivi uko ulinzi umeimarishwa, sijakwambia kuwa siku ya tukio ulinzi ulikuwa umeimarishwa. Na nikakwambia watu wamekamatwa huko sio kabla au siku ya tukio, lakini baada ya tukio tayari kufanyika.Wewe ndio unafaa kuniambia, siumesema security along your border is tight na bado mkapigwa 😂
Hata labda wameichoma hiyo apc moto🔥🔥
Siunaelewa vile Pombe amewakalia kiukweli😂😂Mzee, nani anaficha hio habari? 😀 mbona nimeona Garda world (G4S) wameizungumzia? Youtube habari ipo japo ni audio na still photos tu
Mimi sijali kuhusu hao majamaa mnaowatuhumia kufanya hicho kitendoNimekwambia after the event, sasa ivi uko ulinzi umeimarishwa, sijakwambia kuwa siku ya tukio ulinzi ulikuwa umeimarishwa. Na nikakwambia watu wamekamatwa huko sio kabla au siku ya tukio, lakini baada ya tukio tayari kufanyika.
Sijaiona hio video ya wanajeshi wakitoroka, nimeona video kwa Max shimba kelele tu za hao alshabbab. Bila shaka kama wamekimbia post zao wakati wangeweza kuzidefend, basi Jeshi linajua nini la kuwafanya hao, lakini kama walikuwa outnumbered wakaondoka sioni tatizo, heri kurudi nyuma na kujipanga tena, this time unakuwa ushajua wanakuja kivipi.Siunaelewa vile Pombe amewakalia kiukweli😂😂
Hao wanajeshi waliotoroka mtawafanyia nini, i hope military tribunal will do its work...ama pia hiyo hamna?
You never leave your fellow soldier behind
Nilipokuwa nakuambia assymetrical warfare ulikuwa unadhani namaanisha nini?Sijaiona hio video ya wanajeshi wakitoroka, nimeona video kwa Max shimba kelele tu za hao alshabbab. Bila shaka kama wamekimbia post zao wakati wangeweza kuzidefend, basi Jeshi linajua nini la kuwafanya hao, lakini kama walikuwa outnumbered wakaondoka sioni tatizo, heri kurudi nyuma na kujipanga tena, this time unakuwa ushajua wanakuja kivipi.
By the way, umesema kuwa hao jamaa hawajakaa hapo border washarudi msumbiji, seems like ni waoga. Coz wenzao kule Syria, wanateka eneo halafu wanakaa na kulilinda, wao wamekimbia? surely, wamejua kuwa wameingia choo cha kike.
What big league is this? Nakwambia wenza Syria wanateka mji na kupandisha bendera na kuanza kudefend. Ukitizama video ya max shimba utaona kauli yao ni kuangusha utawala wa JPM na kusimamisha dola ya kiislam. Sasa wewe kwa akili zako, ivo ndio unavoangusha utawala? unapiga afu unakimbia? wewe umeona wapi duniani kuwa kundi flani au nchi flani inataka kuangusha utawala afu wanavamia nchi siku moja afu wanarudi nchini mwao?Mimi sijali kuhusu hao majamaa mnaowatuhumia kufanya hicho kitendo
Waliokuwa na silaha washavuka border...welcome to the big leagues😂
They will not attack a heavily fortified post, wanatafuta soft targets
Wewe jamaa kwani umekuwa gay? Mbona umekazana na dick ya Mwenzako? Ama unataka kumfanyia blow job?Go cut your prepuse, Seriously not only does it stink it also interferes with your intelligence..You are a boy, and you have a long way before you sit with men
Mnakuja hapa mnajisifia, mna modern weapons, EA nzima nyie ni military mighty. Mmenunua new attack helicopters sijui mambo tele. Afu mwisho wa siku havina faida katika kumalizana nao hao jamaa kwanini tusiwacheke?Nilipokuwa nakuambia assymetrical warfare ulikuwa unadhani namaanisha nini?
Kwanza kunayo video wakimchinja mwanajeshi wa JWTZ, duh inasikitisha
Halafu wanakitupa kichwa barabarani lipatikane asubuhi na wenzake🔥
Sisi tukiretreat huwa mnatuponda😂
Unadhani akina Ahmed Iman Ali mkuu wa Wakenya huko alkebab anatosheka revenge attacks?What big league is this? Nakwambia wenza Syria wanateka mji na kupandisha bendera na kuanza kudefend. Ukitizama video ya max shimba utaona kauli yao ni kuangusha utawala wa JPM na kusimamisha dola ya kiislam. Sasa wewe kwa akili zako, ivo ndio unavoangusha utawala? unapiga afu unakimbia? wewe umeona wapi duniani kuwa kundi flani au nchi flani inataka kuangusha utawala afu wanavamia nchi siku moja afu wanarudi nchini mwao?
Al shabbab attacks in Kenya ni revenge for Kenyan army attacking them in somalia. Hawa wanaojiita Alshabbab au Isis huko msumbiji, wameclaim kabisa wanataka kuangusha utawala, sasa nilitegmea baada ya kuvamia hapo kijijini, wangejisifia kuwa wamepata terrirtory na kuendelea kugain more territories. Lakini kumbe wamekimbia