Akili Kubwa - a kenyan made assault rifle - CMZ-4

Nasi mbona tusiwacheke mnapojisifia hapa kwamba nyinyi ndiyo mabingwa hapa East & Central Africa ??☻

Ilhali wanajeshi wenu wanatoroka wanamgambo waliokuwa na rpg and ak47s only...nanyi mna silaha nzito nzito?
 
Kutosheka ama kutotosheka lakini inatambulikana vyema kuwa lengo la kuipiga Kenya ni kwa sababu na wao "wanalipiza kisasi" kwa uvamizi katika "ardhi yao". Na haya yametokea kama sikosei baada ya Kenya kupeleka majeshi yake huko. Huyo mkuu wao hapo Kenya anatumika kulipiza kisasi tu, ndio maana hawezi ata ku advance na kuanza ku claim territories maana inaonekana sio lengo la makao makuu.

Nataka ujue tu, hawa jamaa, wakiweka nia ya kutaka kuangusha utawala, basi kijiji ama mji waliouteka, wanaweka kambi na kuanza kudefend na ku attack from that point na sio washapata ardhi afu wanaikimbia, refere ISIS in Syria, wakichukua mjia hawatoki wana defend hapo, hawa ndio wanataka kuangusha utawala. Hawa inaonekana hapo msumbiji wameboeka wakasema ngoja tukabeep TZ kama wanataka na wao, in short, huenda wakawa ni wahuni tu hawana exact goals kwenye campaign yao.

And by the way, mimi ni believer kuwa hivi vikundi, vimetengezwa sio kwa kutaka kueneza dini, ila kuchafua dini na kupitisha mipango yao mabeberu ya kibepari, lakini too bad, innocent people who think they are fighting for the right cause because they were brainwashed into believing it wana fall into the trap.

Hawa jamaa baada ya kufanya tukio, kwa vile wamo Watanzania basi wamewashauri waondoka eneo hilo maana JWTZ ikishajua hpatatosha
 
Nasi mbona tusiwacheke mnapojisifia hapa kwamba nyinyi ndiyo mabingwa hapa East & Central Africa ??☻

Ilhali wanajeshi wenu wanatoroka wanamgambo waliokuwa na rpg and ak47s only...nanyi mna silaha nzito nzito?
Tofauti yetu na nyie, sisi hatukuwa kusini kivita. Sasa ivi tupo kivita na wao. Tusubiri tuone itaendeleaje.... Au wewe unataka kuwapa Alshabbab ushindi na kwamba wameangusha serikali tayari?
 
Mkuu wa wakenya hayuko nchini, amejificha huko Somalia. They cannot hold territory in Kenya !!

Naona unajaribu kuilinganisha na ISIS sana...pale alot of covert ops zilikuwa zinafanyika hadi ikafikia ISIS kuget power.

Walianza as a movement who were invited by rebels but in the end wakatakeover...

In iraq nayo ilikuwa issue ya wasunni na Shia...ISIS walikuwa katika miji ya masunni sana sana.

Why do you think America cannot win this war, its assymetrical...battlefield is fluid na wanaweza tokea popote at anytime at their own choosing

Vita yetu na alkebab ilianza be4 the official one aka covertly na hao kuanza kutax kenyans on the border na cross border attacks kama za Mtwara
 
Tofauti yetu na nyie, sisi hatukuwa kusini kivita. Sasa ivi tupo kivita na wao. Tusubiri tuone itaendeleaje.... Au wewe unataka kuwapa Alshabbab ushindi na kwamba wameangusha serikali tayari?
Hawa wanamgambo hawaezi angusha serikali yoyote, Kenya ama TZ...

What they will cause is animosity baina ya wakristo na waislamu, economic terrorism na kusumbua tu
 
Tofauti yetu na nyie, sisi hatukuwa kusini kivita. Sasa ivi tupo kivita na wao. Tusubiri tuone itaendeleaje.... Au wewe unataka kuwapa Alshabbab ushindi na kwamba wameangusha serikali tayari?

huyu ni mmoja wao,msome kwa utulivu utagundua.
 
huyu ni mmoja wao,msome kwa utulivu utagundua.
Mimi ni mkenya mpenda amani, ila vifo vya wans JWTZ sikitishwi kabsa

Wengine wenu mlikuwa mnatucheka tulipopigwa🤣.

Wacha nami nijipe raha, endeleeni kugongana mandugu zetu
 
Mimi ni mkenya mpenda amani, ila vifo vya wans JWTZ sikitishwi kabsa

Wengine wenu mlikuwa mnatucheka tulipopigwa[emoji1787].

Wacha nami nijipe raha, endeleeni kugongana mandugu zetu

kuwacheka wakenya hatutaacha.unajua sababu???

kasome heading ya huu uzi,ndio utajua ujinga wenu ndio huwafanya tuwacheke,anyway endelea kuchekelea hapa kabla alshabaab hawajawasabahi tena 2020.
 
Tusiongopeane, kundi kama la Al shabbab wanao uwezo wa kuhold territory popote na kuanza mashumbulizi from that point tena from there itategemea na Jshi la nchi husika how they can regain that territory back au ni question of WHEN? tu.Sema Hawana hio agenda, Agenda yao hapo kwenu ni kuwatandika kwa kuwakera ardhini mwao.

Nawalinganisha na ISIS kwa sababu case ya TZ inamfanano kidogo. Maana kuna watanzania wanashirikiana nao na pia wameclaim kuwa ndio lengo lao. Kumbuka sisi hatujawafuata huko msumbiji wala huko Somali, sio tumekaa na siasa zetu za ndani tu. Kwaio hawawezi kusema kuwa ati wanatupiga kwa sababu na sisi tuliwapiga ama tumewaharibia mipango yao huko walipo.

Afu mzee, Ishu ya Iraq, kweli kuna vita vya usunni na ushia, ila ISIS ni next level, hawa jamaa wana attack wote, Sunni na shia hawabakishi kama huna itikadi sawa na ya kwao.

Kumuingiza USA kwenye hii ishu ni kosa naona. You cant trust the guy who aided dictators in Africa who were killing their own people and they knew about it. Same guy aided Al qaeda in war against Soviet. USA anatizama maslahi yake tu, na naamini hivi vikundi, yeye ni supplier wa silaha ila hapo utakuta unatumika mgongo wa private contractor ili asijulikane kama yupo directly involved. Hii vita inakuwa ngumu kwa sababu ya kukosekana mashirikiano baina ya raia na serikali, na hii huenda ikawa kwa sababu Serikali imekuwa ikiwanyanyasa raia wake kiasi kwamba they dont bother to give out information and they just want the government gone. Hapa bothe raia na serikali naona wanamakosa. Kwa sababu in this situation, although raia wana differences na serikali yao, lakini walitakiwa kuungana kumaliza external enemy. Lakini unakuta bado Syria government ina bomb civilians!!! Russia alivoanza kupeleka vikosi vyake, tumeshuhudia ISIS ikiumizwa sana, wa Kurds walivoanza kupata Silaha, wamewamaliza kwenye maeneo yao. Kweli USA hawezi kuwamaliza hawa jamaa ama ana maslahi yake? Vita mashariki ya kati inahitaji jicho pana, the region should never experience Peace mpaka pale they recognize Israel. The situation in Middle East is more of Politics rather than army capabilities.
 
kuwacheka wakenya hatutaacha.unajua sababu???

kasome heading ya huu uzi,ndio utajua ujinga wenu ndio huwafanya tuwacheke,anyway endelea kuchekelea hapa kabla alshabaab hawajawasabahi tena 2020.
Wakitusabahi, nanyi mnapewa chenu cha usiku

Waendelee kuwatoboa👌👌🙏🙏🙏
 
Natamani kuona vifaa vya JWTZ vikilepuliwa[emoji1787][emoji1787]

Niskie mnavyoskia wanajeshi wetu wakipigwa vita somalia[emoji19]

hao wamewafata wahuni nyumbani kwao,wacha waicheze katitu vyema kabisa.mpaka watakapojua nini cha kufanya.
 
Wakitusabahi, nanyi mnapewa chenu cha usiku

Waendelee kuwatoboa[emoji108][emoji108][emoji120][emoji120][emoji120]

salamu mtazipata soon,kwamba ukanda huu msemaji ni tz tu,wengine ni nothing.hao wataeleza vyema uhusiano wao na alshabaab.
 
Naona wewe ni conspiracy theorists..no need for further discussion with you on this topic.

Wacha ningoje the next friendly game, ntakutag hapa

Mimi ni hao chief propagandists wa CCM nawatafuta, mbona leo wamepotea
 
huyu ni mmoja wao,msome kwa utulivu utagundua.
Hajui kwanini watu huwa wanawacheka. Kutwa kukaa na kujigamba na kudharau wenzao, sasa yakimkuta kwanini asichekwe?

Halafu hajajua bado kama JWTZ haikuwa vitani huko kusini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…