Tusiongopeane, kundi kama la Al shabbab wanao uwezo wa kuhold territory popote na kuanza mashumbulizi from that point tena from there itategemea na Jshi la nchi husika how they can regain that territory back au ni question of WHEN? tu.Sema Hawana hio agenda, Agenda yao hapo kwenu ni kuwatandika kwa kuwakera ardhini mwao.
Nawalinganisha na ISIS kwa sababu case ya TZ inamfanano kidogo. Maana kuna watanzania wanashirikiana nao na pia wameclaim kuwa ndio lengo lao. Kumbuka sisi hatujawafuata huko msumbiji wala huko Somali, sio tumekaa na siasa zetu za ndani tu. Kwaio hawawezi kusema kuwa ati wanatupiga kwa sababu na sisi tuliwapiga ama tumewaharibia mipango yao huko walipo.
Afu mzee, Ishu ya Iraq, kweli kuna vita vya usunni na ushia, ila ISIS ni next level, hawa jamaa wana attack wote, Sunni na shia hawabakishi kama huna itikadi sawa na ya kwao.
Kumuingiza USA kwenye hii ishu ni kosa naona. You cant trust the guy who aided dictators in Africa who were killing their own people and they knew about it. Same guy aided Al qaeda in war against Soviet. USA anatizama maslahi yake tu, na naamini hivi vikundi, yeye ni supplier wa silaha ila hapo utakuta unatumika mgongo wa private contractor ili asijulikane kama yupo directly involved. Hii vita inakuwa ngumu kwa sababu ya kukosekana mashirikiano baina ya raia na serikali, na hii huenda ikawa kwa sababu Serikali imekuwa ikiwanyanyasa raia wake kiasi kwamba they dont bother to give out information and they just want the government gone. Hapa bothe raia na serikali naona wanamakosa. Kwa sababu in this situation, although raia wana differences na serikali yao, lakini walitakiwa kuungana kumaliza external enemy. Lakini unakuta bado Syria government ina bomb civilians!!! Russia alivoanza kupeleka vikosi vyake, tumeshuhudia ISIS ikiumizwa sana, wa Kurds walivoanza kupata Silaha, wamewamaliza kwenye maeneo yao. Kweli USA hawezi kuwamaliza hawa jamaa ama ana maslahi yake? Vita mashariki ya kati inahitaji jicho pana, the region should never experience Peace mpaka pale they recognize Israel. The situation in Middle East is more of Politics rather than army capabilities.