Akili kubwa - Kama kawaida chuo cha Nairobi chaongoza EAC na Afrika ya Kati

Akili kubwa - Kama kawaida chuo cha Nairobi chaongoza EAC na Afrika ya Kati

Akili kubwa inapimwa kwa uwezo wa kutatua matatizo yanayoikabili jamii.

COVID amewapiga chembe kidevu miezi mitano sasa hamfurukuti saa 1 jioni mko majumbani kama kuku then mnajishaua akili kubwa?😁.
 
Tunakili kubwa...nyenyenye kwa field mambo ndio haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20200727-073024.jpg
JamiiForums-1791930298.jpg
JamiiForums-2146971657.jpg
 
Huu uzi ukifika kurasa kumi za povu za Watanzania naomba mnitag, nitatoa zawadi kwa kila mchangiaji, endeleenu kuuvuta.
 
This is the reason why Kenya is highly ranked in human resource and knowledge pool. Kenyans have continued to take over major roles in the world due to our education system. The only country that has more indigenous expatriates than Kenya in sub saharan africa is Nigeria. south africa produces a lot of expatriates but it is majorly the white population. Black south africans still do not venture much outside south africa and even in south africa Kenyans still get better jobs.

Tanzanians on the other hand are just not good enough to make it in any field due to their poor education system. I know one Tanzanian lady who moved to Kenya with her child. The child was in class 6 in Tanzania, but was forced to go back to class 4 in Kenya after the entrance interview, in order to catch up with the Kenyan system. In that class the child is the oldest but still gets beaten hands down academically by the much younger Kenyan classmates.
 
This comes out a day after another Kenyan, Dr. Catherine Adeya an alumni of Moi University who studied at Limuru Girls High school, has been selected to be the director of research at the world wide web foundation. Her role will include leadership and coordination of a research team dedicated to interrogating and understanding the most important barriers to achieve the Foundation’s vision of a web that is safe and empowering for everyone.

Her new role will see her join computer gurus and scientists, including Sir Tim Berners-Lee, who founded the World Wide Web in 1989.
She served as the Vision Sector Director for Business Process Outsourcing/Information Technology Enabled Services (BPO/ITES) at the Ministry of Information and Communications in Kenya from 2012-2013.

Her job involved providing strategic leadership for the development of key flagship ICT projects in the Ministry which included Konza Techno City and the National Broadband Strategy. She was the Acting Chief Executive Officer of the Konza Technopolis Development Authority (KOTDA), the agency responsible for spearheading the development of Konza Techno City – the first mixed use technology city in Kenya.

Dr Catherine Adeya joins World Wide Web Foundation as Director of Research
 
Unaweza kutumia muda mreefu unasoma maujinga na upara ukatoka vilevile.

1. Yawezekana hivyo vyou ndio vinawafundisha uongo na ujinga kuwa mlima kilimanjaro upo Kenye

2. Yawezekana hicho chuo ndio kinawafundisha maujinga kuwa madini ya Tanzanite yanapatikana kenya

3. Yawezekana hicho chuo ndio kinawafundisha utopolo kuwa serengeti ipo kenya

4. Yawezekana hicho chuo ndio kinawafundisha kiswahili cha ajabu na hamna tofauti na wahindi na wasomali hata uwafungie ndani miaka 5 mfululizo unawafundisha kiswahili wataongea madude yao wanayoyaelewa wao

5.Hicho chuo labda kwenye kozi za utalii ndio kimewaharibu vijana wa kiume na wa kike wa pwani kwa kuwadanganya kuwa ili kufanikiwa kimaisha lazima watembee na mababu na mabibi ( ninyi mnawaita nyanya sijui ile ya kupikia chakula mtaita nini) kutoka ulaya
 
Wasomi wazawa wakenya hao na wamejenga vitu vyao walivyosomea kutoka ktk vyo vyao bora kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kweli Kenya nchi ya walevi huu upuuzi uwezi ukuta TANZANIA popote
Ukisikiliza data zao utazani wako mbali kumbe niushuzi mtupu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukisikiliza data zao utazani wako mbali kumbe niushuzi mtupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua wakenya wamealibiwa Sana na mapambio ya viongozi wao. Kuna mkenya nilikuta fb linajinasibu wao wako juu hata pesa yao ina Thamani kuliko TANZANIA
 
Wao hawadeal na wasiokua na akili wanasoma kwaajili ya kupambana na mataifa makubwa kama marekan, Uk China sio TANZANIA na ndio maana wanashindwa kwasababu hawajasomea mataifa dhaifu maana mbinu zao kubwa kubwa tu ndogo ndogo hawana ila huo mtaala ndio utawekwa awamu ijayo.

Hahaaaaaaaaaaaa! Elimu yao ya university basi itakuwa na shida mahala, elimu ya university ni universal, inapita kila engo, ndogo hadi kubwa, kama haiwezi kudeal na changamoto ndogo basi hizo kubwa itakuwa ni balaa zito.
 
Tanzania si muanze kushindana na Nchi za SADC , kama SA, Botswana,Namibia ,Mauritius na Sychelles kwa sababu naona Kenya iko Nyuma sasa
 
Hiyo Elimu imewasaidia vipi wakati
- mna madeni makubwa ya China

-SGR mmepigwa na wachina... inaleta hasara mwanzo mwisho

-Bandari ya Nairobi wachina ndio kila kitu pale

- Mmelazimishwa kupewa mkopo na mabeberu kwaajiri ya kupambana na coronavirus, ili hali nchi nyingine zimesamehewa

- 70% ya Maghorofa Nairobi yanamilikiwa na wageni... elimu yenu ni kutawaliwa

- Watu wanajimilikisha Ardhi kubwa sana, wakati wananchi wengine wanabanana Kibera hakina Ardhi

- Ardhi yenu kame sana, Mmeshindwa kufanya kilimo cha Umwagiliaji, hapo Elimu yenu Imewasaidia nini?

[emoji3][emoji3]

Si nyinyi mtumia elimu yenu mjiondoe kwenye umaskini, Ardhi mko nayo, Madini, Amani , Maji ya kutosha...
Akili tu ndiyo mmekosa.
 
Si nyinyi mtumia elimu yenu mjiondoe kwenye umaskini, Ardhi mko nayo, Madini, Amani , Maji ya kutosha...
Akili tu ndiyo mmekosa ...
Kweli we huna akili unadhani Aman ilikuja Kwa bahati mbaya bila ya akili hata hiyo ardhi kuwa nayo Kwa kua tulikua tunayo akili toka zaman ndio maana tunayo ila ninyi hamna Kwa kua elimu yenu haina uwezo wa kuona mbali
 
Kweli we huna akili unadhani Aman ilikuja Kwa bahati mbaya bila ya akili hata hiyo ardhi kuwa nayo Kwa kua tulikua tunayo akili toka zaman ndio maana tunayo ila ninyi hamna Kwa kua elimu yenu haina uwezo wa kuona mbali.

Ha ha ha Kenya haishindani na Tanzania kaka, isi tunalenga juu yetu, Morocco, Egypt , South Africa etc. Kwa nini tujilinganishe nanyi?
hata Kenya ichomeke yote, Tanzania itakuwa ile ile, mtafurahia siku mbili tu halafu maisha yenu ya kawaida yaendelee.

This clout chasing by standing along-side Kenya and showing muscle is just a testament that we are ahead of you.

how comes you don't do the same shit with Rwanda, Burundi, Uganda?
 
Ha ha ha Kenya haishindani na Tanzania kaka, isi tunalenga juu yetu, Morocco, Egypt , South Africa etc. Kwa nini tujilinganishe nanyi?
hata Kenya ichomeke yote, Tanzania itakuwa ile ile, mtafurahia siku mbili tu halafu maisha yenu ya kawaida yaendelee.

This clout chasing by standing along-side Kenya and showing muscle is just a testament that we are ahead of you.

how comes you don't do the same shit with Rwanda, Burundi, Uganda?
Kwani umeambiwa TANZANIA inashindana? TZ haina kawaida ya kushindana na ndio maana unaona hata kuhusu korona imechukua msimamo wake hatuna haja ya kushindana kutokana na misimamo ya kipekee ndio maana unaona TANZANIA ndio Taifa pekee lenye Aman na sio katika ukanda huu tu bali Afrika nzima.
 
Ha ha ha Kenya haishindani na Tanzania kaka, isi tunalenga juu yetu, Morocco, Egypt , South Africa etc. Kwa nini tujilinganishe nanyi?
hata Kenya ichomeke yote, Tanzania itakuwa ile ile, mtafurahia siku mbili tu halafu maisha yenu ya kawaida yaendelee.

This clout chasing by standing along-side Kenya and showing muscle is just a testament that we are ahead of you.

how comes you don't do the same shit with Rwanda, Burundi, Uganda?
Ila we ugulia maumivu tu kipindi TANZANIA inachukua miliki zake
 
MK254,

Hongereni sana, Elimu inahitaji Uwekezaji sana, najua mlichotuzidi ni bugdet kubwa ya Kufanya tafiti, icho ndio kipengele muhimu zaidi kwa Elimu ya Juu. Pili si soko kwa wanataaluma, ukisoma chuo fulani ukasikia kuna ajira hata wale wanaokufanyia udahili wanaamini unauwezo na kazi ulioomba! Binafsi niwapongeze!! EAC tunahitaji kuwekeza zaidi kwenye Elimu ya Juu ili tuweze kupunguza kufanyiwa kila kitu na wageni.

Serikali ianze kuwekeza kwa wanataaluma kwa kuwanunulia vifaa na kuanzisha makampuni kama wenzetu wachina, hii itatusaidia sana
 
Back
Top Bottom