Akili kubwa - Kama kawaida chuo cha Nairobi chaongoza EAC na Afrika ya Kati

Akili kubwa - Kama kawaida chuo cha Nairobi chaongoza EAC na Afrika ya Kati

Kwani umeambiwa TANZANIA inashindana ? TZ haina kawaida ya kushindana na ndio maana unaona hata kuhusu korona imechukua msimamo wake hatuna haja ya kushindana kutokana na misimamo ya kipekee ndio maana unaona TANZANIA ndio Taifa pekee lenye Aman na sio katika ukanda huu tu bali Afrika nzima
We don't care, hata sisi tuna misimamo yetu.
 
Huu uzi ukifika kurasa kumi za povu za Watanzania naomba mnitag, nitatoa zawadi kwa kila mchangiaji, endeleenu kuuvuta.
Hahaa! 😀 Majirani wanamwaga povu sio mzaha, utadhani povu ndio litaboresha vyuo vyao. Alafu hata povu lenyewe ni la kipumba tu, haliendani na mada wala hoja ambazo ndio zinafaa ziwe zinajadiliwa kwenye uzi huu. Kama kawaida wengi wao hawajaichambua taarifa yenyewe. Sio jambo la kushangaza lakini, maanake asilimia kubwa ya hawa vinyangarika ni vibendera fuata upepo na hawana uwezo huo.

Vigezo vya ubora vilivyotumika ni pamoja na 'webometrics'(general missions) na 'bibliometrics' ambazo ni research missions za vyuo husika. Vyuo vya Kenya vimebobea kwenye vigezo vyote, hicho ni kiashiria tosha kwamba wakenya wataendelea kung'aa kwenye 'job market' hapa Afrika Mashariki na ya Kati na Afrika kwa ujumla pia.
 
Unajua wakenya wamealibiwa Sana na mapambio ya viongozi wao . Kunalikenya nililikuta fb linajinasibu wao wako juu hata pesa yao ina Thamani kuliko TANZANIA
Si ni kweli, hata hilo libongo lako lala linatambua.
 
We don't care man, mchukue msichukue hiyo shida yenu kaka. Nenda uambie magufuli hayo
We panic tu bro ila ndo hivyo tena uwezi kubadili kaniki kua nyeupe itabid tu ukubaliane na hali.
 
Hatujisifii. Tunasifiwa na ulimwengu. Sio sisi tumeandika hio ripoti. Nenda kalilie chooni basi kama hupendi.
Hawa watakuja kufanikiwa Ile siku wataacha uchawi wivu na majungu.Wamependa kulalamika sana na kutoa excuses Mara Kenya ooh sijui mabeberu watu ovyo sana🤮
 
Akili kubwa inapimwa kwa uwezo wa kutatua matatizo yanayoikabili jamii.

COVID amewapiga chembe kidevu miezi mitano sasa hamfurukuti saa 1 jioni mko majumbani kama kuku then mnajishaua akili kubwa?😁.
Just because Magufuli said there's no corona in Tanzania because of miracles? 😂 😂
 
Hehehe mnavyotokwa udenda inadhihirisha kwanini hamsikiki kwenye chochote kinahusu elimu, tutaendelea kuwakalia sana tena kwa muda mrefu ujao.
Sasa mbona maengineers wenu wanaangusha maghorofa na madaraja wanayojenga.
 
Just because Magufuli said there's no corona in Tanzania because of miracles?? 😂 😂
My comment has nothing to do with Magufuli!

Je akili kubwa mmefikia wapi kwenye chanjo ya COVID mpaka sasa?

Au mnasubiri kufanywa guinea pigs na wenye Akili kubwa?
 
Muda ukifika ntaenda UoN au JKUAT au Makerere niongeze ka-jiwe kengine.

Ndugu zangu waTz tusome & tuache ubabaishaji.
 
Ranking by web content unashangilia hivyo duh

Ranking by publication au citation impact ndio Ina heshima sio web content.
 
The University of Nairobi has been ranked the top institution in East Africa and number 10 in Africa by the Webometrics ranking.
Juu ya elimu yote bado hakuna food security
 
Ranking by web content unashangilia hivyo duh Ranking by publication au citation impact ndio Ina heshima sio web content.
[emoji1][emoji1][emoji1] Yaani hadi walikuwa wamejipanga kwasababu ya watu wenye uelewa wa ajabu ajabu kama wako. Jisomee mwenyewe..."The Ranking Web is not a ranking of
the websites of Universities, it is a
Ranking of Universities. It uses both
webometric (all missions) and
bibliometric (research mission)
indicators."
... Noma sana, hakuna pa kupenyeza jombaa. [emoji38]
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Yaani hadi walikuwa wamejipanga kwasababu ya watu wenye uelewa wa ajabu ajabu kama wako. Jisomee mwenyewe..."The Ranking Web is not a ranking of
the websites of Universities, it is a
Ranking of Universities. It uses both
webometric (all missions) and
bibliometric (research mission)
indicators."
... Noma sana, hakuna pa kupenyeza jombaa. [emoji38]
Nani kaandika ni rank ya university websites? Soma vizuri comment yangu usikurupuke kuquote hovyo
 
Nani kaandika ni rank ya university websites? Soma vizuri comment yangu usikurupuke kuquote hovyo
Ranking by web content unashangilia hivyo duh
Ranking by publication au citation impact ndio Ina heshima sio web content.
Acha kuruka ruka bila formular, soma nilichonukuu kwa umakini ..."The Ranking Web is not a ranking of
the websites of Universities, it is a
Ranking of Universities. It uses both
webometric
(all missions) and bibliometric (research mission)
indicators".
 
Ujamaa ni laana, watu wote wanashikiliwa akili, kiongozi akisema hakuna malaria wote wanaamini papo hapo.
Inachekesha pale tunaambiwa kwamba Tanzania, a Third World country, haina corona wakati ambapo hata China where the virus started from, is still reporting cases despite of its advanced healthcare system. Mizombie ni mizombie tu!
 
Inachekesha pale tunaambiwa kwamba Tanzania, a Third World country, haina corona wakati ambapo hata China where the virus started from, is still reporting cases despite of its advanced healthcare system. Mizombie ni mizombie tu!
Hata ukilia mpk uzimie, upige kelele mpk ujinyee, upaze sauti mpk ikauke but haitaondoa ukweli kwamba Tz hakuna covid-19 [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom