mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
kurekebisha ni mpaka uwe unajua, vinginevyo utafanya vituko zaidi.Hata Kikikuyu poa tu, kimsingi uandike vizuri ukiwa na nia ya kufahamisha, sio unaandika uharo halafu hautaki kurekebishwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kurekebisha ni mpaka uwe unajua, vinginevyo utafanya vituko zaidi.Hata Kikikuyu poa tu, kimsingi uandike vizuri ukiwa na nia ya kufahamisha, sio unaandika uharo halafu hautaki kurekebishwa.
Unapaswa utumie lugha unayoifahamu vizuri humu, maana kusudi lako ni tukuelewe, sasa uking'ang'ania kingereza (ilhali kinawapiga chenga) na kuandika pumba, unaishia kutuchanganya.
Chunga sana usinyang'anywe uraia wako wa kitanzania na watanzania wenzako na kuitwa mkenya. Mwishowe utatupiwa mitusiMimi Mtanzania ila kwa kweli kwa kila kitu tupo nyuma labda kwa Corona tu ndio tumewashinda kenya nayo pia hatujajua maana huenda tumeficha makaa ya moto kwenye mifuko ya suruali.
Sustainable development is for the united and intergrated nation. We are predicted of a good future economic prosperity.
English doesnt create any of that? only hardworking, good plans and good management systems.
And One day, we will provide aids to your people as good friends and we will be good teachers to your generation
We kichaa kweliMimi Mtanzania ila kwa kweli kwa kila kitu tupo nyuma labda kwa Corona tu ndio tumewashinda kenya nayo pia hatujajua maana huenda tumeficha makaa ya moto kwenye mifuko ya suruali.
Wachana na friend exam wanafunzi wa vyuo vikuu vya Kenya kwenye student exchange program wakija UDSM mbona huwa wanalia.waulize Nani Yuko tayari Kama watajitokeza.Should we have a friendly exam between UoN & UDSM so as to proove your research?
Just go, remember to take the message with youUuuuiiii.... sisemi kitu tena.... eti "we will provide aids to your people".... kwaheri ndugu maana hatari sasa.
Unaweka hii picture ukafikiri ndio umeishinda kenya hata tz wako azidi ya hapo enda vijijini humo ndani ndani tabu kuliko hio picture hapo usijidanganye. Kwani ukisema hunà matatizo na unàyo ndio umetatua?We kichaa kweli
Kenya hii itushinde?
Hii kuzimu? Mtanzania gani anaishi maisha ya jehanamu namna hii?
Hiyo elimu imewakomboaje kama 60% ya wakenya wanaishi hivi?
Haijalishi mimi sipendi uongo. Tz is a puuurest KantiryChunga sana usinyang'anywe uraia wako wa kitanzania na watanzania wenzako na kuitwa mkenya. Mwishowe utatupiwa mitusi
Haha haha labda hapo mkuuKwa ulevi tumewapita maana ushaidi upo Kwa viongozi wetu wanakunywa mpaka wanadondoka kwenye ngazi Kenya ishawahi tokea mpaka useme kila kitu wametuzidi?
leta video ng'ombe wewe. hivi mkiona tunapiga kelele juu ya ufala wenu mnadhani tunapenda au tunafurahi!!!Unaweka hii picture ukafikiri ndio umeishinda kenya hata tz wako azidi ya hapo enda vijijini humo ndani ndani tabu kuliko hio picture hapo usijidanganye. Kwani ukisema hunà matatizo na unàyo ndio umetatua?
We mjalana sio mtanzania kima we !! Mtanzania gani anaongea Kiswahili cha [emoji205][emoji205][emoji205] eti mi mtanzania , unazan TANZANIA kama hiyo nchi yenu iliopoteza muelekeo chakula tu mpaka mutegemee upande wa piliUnaweka hii picture ukafikiri ndio umeishinda kenya hata tz wako azidi ya hapo enda vijijini humo ndani ndani tabu kuliko hio picture hapo usijidanganye. Kwani ukisema hunà matatizo na unàyo ndio umetatua?
Kalishe ndugu zako kijijini waache kula mafi jingaWe mjalana sio mtanzania kima we !! Mtanzania gani anaongea Kiswahili cha [emoji205][emoji205][emoji205] eti mi mtanzania , unazan TANZANIA kama hiyo nchi yenu iliopoteza muelekeo chakula tu mpaka mutegemee upande wa pili
Sio inachekesha, be real, roho inawauma, ni wivu mnasikia, u wish u had our guts.Inachekesha pale tunaambiwa kwamba Tanzania, a Third World country, haina corona wakati ambapo hata China where the virus started from, is still reporting cases despite of its advanced healthcare system. Mizombie ni mizombie tu!
Punguza pumbaUnaweka hii picture ukafikiri ndio umeishinda kenya hata tz wako azidi ya hapo enda vijijini humo ndani ndani tabu kuliko hio picture hapo usijidanganye. Kwani ukisema hunà matatizo na unàyo ndio umetatua?
Umemaliza kila kitu mkuu...Hiyo Elimu imewasaidia vipi wakati
- mna madeni makubwa ya China
-SGR mmepigwa na wachina... inaleta hasara mwanzo mwisho
-Bandari ya Nairobi wachina ndio kila kitu pale
- Mmelazimishwa kupewa mkopo na mabeberu kwaajiri ya kupambana na coronavirus... ilihali nchi nyingine zimesamehewa
- 70% ya Maghorofa Nairobi yanamilikiwa na wageni... elimu yenu ni kutawaliwa
- Watu wanajimilikisha Ardhi kubwa sana, wakati wananchi wengine wanabanana Kibera hakina Ardhi
- Ardhi yenu kame sana, Mmeshindwa kufanya kilimo cha Umwagiliaji, ... hapo Elimu yenu Imewasaidia nini????
[emoji3][emoji3]