GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
Kushindana na Kenya ni kujidhalilisha tu!
Hivi hapo Kenya kuna elimu gani tofauti na hako kakizungu kao koko cha kubabaisha!?
Tulidanganywa sana kwamba ati Kiingereza ndio elimu bora, kiasi kwamba hata waokota makopo wa Kibera wakapata jeuri ya kujilinganisha na daktari wa kupasua ubongo wa muhimbili kisa tu ati anaongea Kiingereza. Hahahah
Hii kasumba haipo tena na tunapoelekea tutakifuta kabisa Kiingereza tutumie Kiswahili kwenye mitaala yote na wahitimu wetu wajiamini na wajivunie Kiswahili.
Elimu ya kwenye takwimu hiyo haina msaada wowote. Mnahitaji elimu ya kupambana na njaa, ukame na umasikini, sio kuja na vitakwimu vya kuokoteza facebook huku mijitu inakufa kwa unyafuzi na Kipindupindu.
Unakaa kaa hapo hovyo hovyo unababaika na vizungu vya kijaluo badala ya kushughulika na MATATIZIO HALISI uko bize unaokota okota vitakwimu visivyo na ithibati!
Ati elimu bora! Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii bhaghosha!!