Hivi inakuaje mtu anakuwa na pesa harafu Bado anakosa namna ya kujichanganya ?
Mbona hainiingii akilin ....
Mim nikiwa na pesa Moja Kwa Moja nakuwaga na furaha,maana nakuwa na vibe hatari ,maneno kibao ,mikwala mingi ,maeneo yote niliyokuwa nahofia kwenda naenda na confidence hali ya juu,kila kitu naona nakimudu ,hata hamisa mobeto nikimuona namtongoza yaani hio ni vibe la kuwa na pesaaa tu hata laki Moja .......
Sasa nyie wengine Hadi mnapesa za magari et mna stress [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo mengine naona mnajitakia wenyewe ...