Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

Mbona mimi napenda kukaa peke yangu na sijawahi kutamani kufa [emoji28][emoji28]
 
Hapa ndani kuna watu wazima wengi wa kuongea nao na utasaidika.
Brother Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume njoeni tafadhali mtoe msahada.
 
Pole mkuu.

Hiyo pesa ulipata kihalali?
 
Kabisaaa. Binafsi ki ukweli starehe yangu ni kuwa na hela,,asa mtu una hela halafu bado una sonona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana.Kumbe wewe mshirikiana. Hayo majonzi yako ni kutokana na kufiwa na mama.Si unasema una pesa mbona unamuwaza sana Mama kama kwamba hukuumbwa na Allah.Kama ni hivyo huenda ukaishi miaka mingi zaidi ili ama uteseke kwa ushirikina wako au uzinduke umkumbuke na kumtegemea Allah s.w pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…