Siwajibu swali lenu kwasababu ninyi ni wajinga sana hamna akili, ndio sababu Magufuli anawaendesha marais wote hapa East Africa, kwasababu yeye anatumia akili sana kabla ya kufikia maamuzi yake.
Mimi nimelinganisha na kuuliza kati ya Elimu na Kilimo inakuaje Elimu ipewe bajeti kubwa zaidi ya Mara tano ya ile ya Kilimo katika nchi ambayo uchumi wake unategemea KILIMO.
Mimi sijasema bajeti ya Kilimo ni ndogo, Kama bajeti ya Kilimo ingekua $300M na education ikawa $250M kamwe nisingesema wala kuuliza.
Jambo linalonikwaza ni kuona kwamba Kilimo ambacho hutoa ajira kwa wananchi 75%, nchi ambayo watu wake wanakufa njaa, nchi ambayo kila mwaka lazima ipewe msaada wa Chakula, nchi ambayo 47% ya watu wake hutegemea "food donations", lakini katika kupanga bajeti, inatoa kipaumbele katika Elimu Mara tano zaidi ya KILIMO.
Mimi ninauliza kuhusu " priorities " ya nchi ya Kenya kati ya Elimu na Kilimo. Hivi ninyi mnaakili kweli?. Wapuuzi wakubwa ninyi. Siwezi kujibishana na watu wajinga kama ninyi. Hovyo kabisa ninyi, badala ya kujibu hoja, mnaleta ujinga wenu hapa.