Akili za umasikini: Bajeti ya Elimu $5B, lakini bajeti ya Kilimo in $500M

Akili za umasikini: Bajeti ya Elimu $5B, lakini bajeti ya Kilimo in $500M

I am more fluent in my mother tongue than swahili. Swahili ranks fifth in order of preferred languages and is only useful to me hapa jamii forums 😉!!! Otherwise haina kazi ingine.

1. Dads mother tongue
2. Mum's mother tongue
3. English
4. Sheng
5. Swahili
Kabisa, unatakiwa ujue lugha ya home kwanza..halafu hzo zingine badae
 
Siwajibu swali lenu kwasababu ninyi ni wajinga sana hamna akili, ndio sababu Magufuli anawaendesha marais wote hapa East Africa, kwasababu yeye anatumia akili sana kabla ya kufikia maamuzi yake.

Mimi nimelinganisha na kuuliza kati ya Elimu na Kilimo inakuaje Elimu ipewe bajeti kubwa zaidi ya Mara tano ya ile ya Kilimo katika nchi ambayo uchumi wake unategemea KILIMO.

Mimi sijasema bajeti ya Kilimo ni ndogo, Kama bajeti ya Kilimo ingekua $300M na education ikawa $250M kamwe nisingesema wala kuuliza.

Jambo linalonikwaza ni kuona kwamba Kilimo ambacho hutoa ajira kwa wananchi 75%, nchi ambayo watu wake wanakufa njaa, nchi ambayo kila mwaka lazima ipewe msaada wa Chakula, nchi ambayo 47% ya watu wake hutegemea "food donations", lakini katika kupanga bajeti, inatoa kipaumbele katika Elimu Mara tano zaidi ya KILIMO.

Mimi ninauliza kuhusu " priorities " ya nchi ya Kenya kati ya Elimu na Kilimo. Hivi ninyi mnaakili kweli?. Wapuuzi wakubwa ninyi. Siwezi kujibishana na watu wajinga kama ninyi. Hovyo kabisa ninyi, badala ya kujibu hoja, mnaleta ujinga wenu hapa.
Mbna hata kwenu data haziendani km huku huku tu[emoji23][emoji23]
Tena ikizidi katika kilimo tumewazidi na bado unalia bajeti yetu ya kilimo ni ndogo
 
Hahaha, huwezi kuwa na Elimu bora bila lishe bora. Huwezi kwenda kusoma ukiwa na njaa, viwanda havizalishi kwa kukosa Mali ghafi, familia hazina ajira, na uchumi WA nchi umelala.
Je umejiuliza nchi yako mwaka jana ilitenga kiasi gani kwenye kilimo? Je unajua kuna mwaka nchi yako ilitenga 5 Bil. tu kwenye kilimo?

Bora hawa wakenya wanawekeza kwenye elimu kuliko wewe na serikali yako ambao hamueleweki
 
Akileta bajeti yao ya kilimo unitag please..
Manake nimecheka sana na akili za huyo jamaa
Nowadays even his countrymen are ashamed of him. You can see that in the comments of most of his threads.
 
Je umejiuliza nchi yako mwaka jana ilitenga kiasi gani kwenye kilimo? Je unajua kuna mwaka nchi yako ilitenga 5 Bil. tu kwenye kilimo?

Bora hawa wakenya wanawekeza kwenye elimu kuliko wewe na serikali yako ambao hamueleweki
Wewe una akili au unatumia kende katika kufikiria?
 
Galana is going on very well. I know ujinga wako huwezi kuruhusu ujue hilo.
Going well kivipi zaidi ya maneno matupu kila siku, hakuna pesa ya kuwekeza katika huo mradi, mlianza mkitegemea kupata pesa toka kwa investors kama mlivyofanya katika Lamu port project, there is no single investor interested with neither project
 
Wapi budget yenu ya ukulima you fool. We are still waiting for it.
 
Going well kivipi zaidi ya maneno matupu kila siku, hakuna pesa ya kuwekeza katika huo mradi, mlianza mkitegemea kupata pesa toka kwa investors kama mlivyofanya katika Lamu port project, there is no single investor interested with neither project
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Fungua uzi mwngine wa irrigation scheme tuje tuupige na chini pia[emoji23][emoji23][emoji23] bajeti[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom