Akina dada acheni hizo bana! Mnaboa sana sometimes!

Ndio hivyo kaka thanks!
 
hahahahahahahaha! Hiyo kali. Kumbe yanawakuta kweli. Lol.
 
Ndo mkome kuwa na dhamira mbovu na kugeuza wenzenu kama zana za starehe.
 
We vipi, apo u should be thankful mtu amekuonesha makucha yake bado kweupeee.!! Unajua kabisa, she's not HER from th start. . . . . odhawise, pole kaka!!!

tatizo sio hili, kijana anataka kugonga na kusepa,

kwahiyo ukishaingia kwenbye biashara za hivi weye kubali yote tu......

hayo mambo ya kuanza kuchunguzana kwani amekwambia anatafuta mchumba hapo?
 
Mizinga ni namna mojawapo ya kukimbiwa nyie. Hamjui?

uzuri wetu wengine usanii huu wa mizinga tunajua kweli kuupotezea......

mizinga piga tu, lakini mwisho wa siku biolojia utanipa,(hii ipo kikazi zaidi)

na hiyo mizinga yako utaambulia hewa tu.................chezea mitu mingine!!!!!!!!!!

utamu wa miwa ni mate yako bana, alah.......................
 
we bacha bisha tuu. Habari yako lakini?
 
umeona-eeh, mi ikishakuwa ivo nakubali kula hasara ya lunch tu basi! hela ya saluni hupati ng'o!
Wewe kinachokusumbua ni ubahiri au kutokuwa nazo. Lazima kwanza ujiulize huyo binti wakati umemkaribisha lunch alipokuja amependeza na ukamtamani, hujui wenzako hapo wamegharimia? Kwa nini wewe ushindwe na wewe kumpendezesha na wenzako wamtamani?
 
umenichekesha bwana. Ila mbona na sisi tunawapa ofa hatulalamiki.

Ofa gani mnatoa? Mimi takupa pesa ya matumizi ya mwezi halafu unanipeleka dinner mara moja kwa wiki.

Sasa hiyo ofa gani? Toa kwenye mshahara wako uninulie Laptop!
 
Ofa gani mnatoa? Mimi takupa pesa ya matumizi ya mwezi halafu unanipeleka dinner mara moja kwa wiki.

Sasa hiyo ofa gani? Toa kwenye mshahara wako uninulie Laptop!

nyie ofa za siku moja tu mnalalamika jf. Matumizi ya mwezi si ndio utapeleka habari tbc.
 
nyie ofa za siku moja tu mnalalamika jf. Matumizi ya mwezi si ndio utapeleka habari tbc.

Tatizo nyie mnaboa bana acheni hizo!
Nakutoa out siku ya kwanza siku ya pili, anaaza dear nimeona BlackBerry torch 9800 pale Mlimani City. nzuri ma dear nimeipenda kweli.
Ndio maana mnatapeliwa...lol!
 
Tatizo nyie mnaboa bana acheni hizo!
Nakutoa out siku ya kwanza siku ya pili, anaaza dear nimeona BlackBerry torch 9800 pale Mlimani City. nzuri ma dear nimeipenda kweli.
Ndio maana mnatapeliwa...lol!

nyie wenyewe mnaboa. Siku ya kwanza tu mnataka mambo ya kikubwa.
 
Mmmmhhhh!!!!!!
Mada nyingine bwana!!1
inaonesha dhairi wewe ni playboy,be very careful na maisha yako unayofanya ni zinaaa
 
Unavyo sema huwezi kumlipia salon kabla hanja-do ndio na yeye anasema huwezi m-do wakati huja mpa hata hela ya vocha au ya salon. Mmekutana wote mnaviziana
 
nyie wenyewe mnaboa. Siku ya kwanza tu mnataka mambo ya kikubwa.

Sasa siku moja tu na spend 100.000!
Bora tumalize game siku ya kwanza tu, mwanamke unatafuna pesa hivyo tukikaa mwezi si takufa kwa madeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…