Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 896
Wakuu, michango yenu hapa imenivunja mbavu mno!! Sasa mi naomba msaada wenu; Mbona mnavyomjibu mtoa mada na jj ni kama wao tu ndo watafaidi wakati wa ku do?! Baada ya hapa mtawadai hawa jamaa wakiwa na hao mabinti wawaridhishe wao kwanza kwenye 6 kwa 6 wakati kumbe wameshalipia?! Na je wadada wa hivo si ndo wakipiga mizinga wanakula kona?? Tumewahi kuona malalamiko hapa kuwa kuna wadada mkipeana namba za simu tu hata kabla hujaomba mechi mizinga na vibomu vinaanza, na hao mnasemaje???
Mkuu Chatu dume pole sana....
Ndio hivyo kaka thanks!