Akina dada kumpa Ex wako penzi siku moja kabla ya harusi huwa mnafikiria nini?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Inashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa.

Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na anagongwa kana kwamba sio mchumba wa mtu.

Hii inashangaza sana.
 
Pale huwa ni kumuhakikishia kuwa atakuwa anapewa muda wowote anapoitaka licha ya kuwa ameolewa, hata watoto wengine wanaweza kuwa wa kwake.
 
Inashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa.

Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na anagongwa kana kwamba sio mchumba wa mtu.

Hii inashangaza sana.
Ok
 
Back
Top Bottom