Akina dada kumpa Ex wako penzi siku moja kabla ya harusi huwa mnafikiria nini?

Akina dada kumpa Ex wako penzi siku moja kabla ya harusi huwa mnafikiria nini?

Mwanamke akidumu kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka miwili, chances za kuwa anampenda huyo kijana ni kubwa. Ajabu ni kuwa wanawake wengi hawaolewi na wale wanaume wanaowapenda.

Wanawake wengi wanaolewa na wanaume wanaotaka kuoa, na hapo ndipo uzi wa mleta uzi unaanza ku apply.
 
Dharau mbaya sana.mara nyingi ndoa za namna hiyo huwa hazidumu.huyo mwamamke wanakuwaga na tabia ya umalaya.
Ni kweli kabisa. Binfasi X alinifuata kwa mambo mawili. Kwanza alitaka amkonvice mchumba wake mimi niwe best man wao nikagoma. Nikaletewa kadi nihudhurie send off yake na nilienda.. Baada ya sendoff akataka nikamkande siku ya Ijumaa ambapo Jumamosi ni harusi yake. Nikaona kabisa nilikuwa natoka na shetani.
Ukweli ile ndoa ilivunjika baada ya kama miaka miwili hivi.
 
Inashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa.

Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na anagongwa kana kwamba sio mchumba wa mtu.

Hii inashangaza sana.
Ilinitokea, ex kanitafuta akaanza kuniambia habari za mapenzi, kanimiss, tuonane. Nikaona mizinguo nikampiga block kwenye simu, baada ya wiki namuona kwenye page ya MC flani anaoa, nilichoka.

Si kwa wanawake tu, hata wanaume wanafanya hivyo pia!
 
Yaani maex siyo watu wa kuchekea kabisa yaani mimi wakinipigiaga nawaambiaga wamekosea namba
 
DAH NASIKIA Kuna JAMAA kavunja NDOA BAADA ya kufahamu JANA yake demu alienda kwa ex. NDOA inaendelea JAMAA akastopisha akaaga akamwambia mchungaji HUYU JANA kaliwa na ex Aende kuolewa KULE KULE mwamba akatembwa na wapambe wake alafu demu angalia. Dadeki
 
Inashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa.

Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na anagongwa kana kwamba sio mchumba wa mtu.

Hii inashangaza sana.
Huruma sio malezi😂😂
 
Nashangaaga kuna wale wanasemaga eti kuachana siyo vita, wakati ex ukimpa attention kidogo tu atataka akulambe tena
Mimi sina ex ambaye nimeachana naye kwa vita ila uhusiano ukiisha sitaki tena mawasiliano ya kudumu wala mazoea maana najua nikiendekeza tutakulana tu.
 
Mwanamke akidumu kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka miwili, chances za kuwa anampenda huyo kijana ni kubwa. Ajabu ni kuwa wanawake wengi hawaolewi na wale wanaume wanaowapenda.

Wanawake wengi wanaolewa na wanaume wanaotaka kuoa, na hapo ndipo uzi wa mleta uzi unaanza ku apply.

Kama sikosei nilishawahi izungumzia hii humu.
Nilishakutana na bwana husband matirio na anataka kuoa. Yeye aliniona akajisemea huyu mke nimepata, mimi tangu siku ya kwanza sikumpenda maana alinijia kwa heshima na mbaba kama mshenga hivi kuniunganisha. Alijua angenitongoza mwenyewe ningemkatalia....
Nikaingia nae kwenye mahusiano sababu ya heshima ya huyo mbaba, kiukweli sikiwahi mpenda hata baada ya kukaa nae kwenye mahusiano mwaka mzima, wakati huo niko chuo.
To cut the story short, alitokea bonge la bwana, perfume yake ndo ilinivutia plus yeye mwenyewe baada ya mwezi akarusha ndoano akanitongoza, chaap nikatumbukia ndani ya boksi.
Nikaitisha mkutano kwa yule bwana muoaji nikamwambia samahani kiukweli siwezi kuendelea na wewe na ukisema tuoane ujue huko kwenye ndoa ntakuwa nakuchiti na mimi sitaki iwe hivyo. Nataka nikiolewa nitulie na mume wangu......

Kumbe dunia inanitizama tuu huku ikitabasamu eehehehhee...

Jamaa alilia machozi hadi akamwaga kamasi nikamwambia ni heri uumie saa hizi hatuna commitment kuliko uje kuumia baadae tuna watoto 5 wote si wako. Akakubali yaishe akasonga na maisha yake.
Jamaa ndo alikuwa anajenga nyumba yake na alikuwa qnanishirikisha sebule ikaaje, madirisha yawe na ukubwa gani, jiko liweje maana mimi ndo mama mjengo mtarajiwa.
Sikuvutiwa na yote hayo sababu sikuwa mfata mali bali utu.

Huyu jamaa niliyemzimia sasa..... tulisonga maisha yalikuwa mazuri, akajapata nafasi za kwenda masomoni ulaya nafasi za serikali ndo tukapotezana hapo.

Kuliko nije nikuchiti baadae for the sake of being married, I better stay celibate.
 
Back
Top Bottom