Akina dada kumpa Ex wako penzi siku moja kabla ya harusi huwa mnafikiria nini?

Akina dada kumpa Ex wako penzi siku moja kabla ya harusi huwa mnafikiria nini?

Inashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa.

Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na anagongwa kana kwamba sio mchumba wa mtu.

Hii inashangaza sana.
Dharau mbaya sana.mara nyingi ndoa za namna hiyo huwa hazidumu.huyo mwamamke wanakuwaga na tabia ya umalaya.
 
They use this trick to fool us ili badae wakiwa kwenye ndoa waendelee kututumia kuridhisha nyege zao
 
Inashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa.

Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na anagongwa kana kwamba sio mchumba wa mtu.

Hii inashangaza sana.
Tatizo mnakuza sana mambo, ukisikia case moja au mbili tayari ushafanya kwamba ni utaratibu wa wadada wote! MUHIMU: Kwa sasa dunia ipo speed sana (AI) tukio moja tu linaweza kutokea mfano kwenye shule moja huko Njombe; kesho yake taarifa zimezunguka Nchi nzima na hata kuruka mipaka; sasa bila kutumia akili yako kidogo kuchambua, utasema watoto wasiende shule au niseme unaweza kuishia kuchanganyikiwa kwa kufikiri kila kitu ni kibaya....
 
Inashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa.

Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na anagongwa kana kwamba sio mchumba wa mtu.

Hii inashangaza sana.
Hiyo inaitwa The Gods must be Crazy
 
Ni umalaya wa mtu binafsi tu...na hauna jinsia wote wanafanya haya.wanaume wanafanya,wanawake wanafanya.
Inaweza ikawa ijumaa binti wa watu umelala ndani unawaza mumeo unajua nae kalala kumbe anaagana na malaya wake,vivihivo mwanaume umelala unawaza kesho nkifunga itakuwaje uko excited unadhani mwenzio nae kalala mda huo kumbe anaagana na bwanake kakunjwa staili za kimafia.

Ndoa zinahitaji watu wawili walio committed kuingia kwenye kiapo kuacha ya nyuma Kwa kumaanisha na kusonga mbele.kinyume na hapo ni kuchezea tu Hilo agano na kupoteza mda.
 
Back
Top Bottom