Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Aisee,Akina dada kumpa Ex wako penzi siku moja kabla ya harusi huwa mnafikiria nini?
Pale huwa ni kumuhakikishia kuwa atakuwa anapewa muda wowote anapoitaka licha ya kuwa ameolewa, hata watoto wengine wanaweza kuwa wa kwake.Inashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa.
Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na anagongwa kana kwamba sio mchumba wa mtu.
Hii inashangaza sana.
OkInashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa.
Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na anagongwa kana kwamba sio mchumba wa mtu.
Hii inashangaza sana.
Ya wapi🥹Namshukuru Mungu alinipa mke bikra.
IkateMwanadamu asingeumbwa na nyeti, kusingekuwa na matatizo tuliyonayo duniani.