kabwe katal
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 264
- 289
Dharau mbaya sana.mara nyingi ndoa za namna hiyo huwa hazidumu.huyo mwamamke wanakuwaga na tabia ya umalaya.Inashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa.
Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na anagongwa kana kwamba sio mchumba wa mtu.
Hii inashangaza sana.
Swali gani hilo?Ya wapiπ₯Ή
Labda wa KigamboniHao ni βakinaβ dada wa wapi mkuu??
Aaaah weee . Sio kweli.Labda wa Kigamboni
Ongeza sautiMwanadamu asingeumbwa na nyeti, kusingekuwa na matatizo tuliyonayo duniani.
wakati unakwenda kudai haki yako usisahau kubeba vaseline petroleum jelly ile ya aloe vera.Kumbe kuna huduma kama hiyo; mimi sikupewa, ngoja nikadai haki yangu ππ
Tatizo mnakuza sana mambo, ukisikia case moja au mbili tayari ushafanya kwamba ni utaratibu wa wadada wote! MUHIMU: Kwa sasa dunia ipo speed sana (AI) tukio moja tu linaweza kutokea mfano kwenye shule moja huko Njombe; kesho yake taarifa zimezunguka Nchi nzima na hata kuruka mipaka; sasa bila kutumia akili yako kidogo kuchambua, utasema watoto wasiende shule au niseme unaweza kuishia kuchanganyikiwa kwa kufikiri kila kitu ni kibaya....Inashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa.
Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na anagongwa kana kwamba sio mchumba wa mtu.
Hii inashangaza sana.
Na raha isingelikuwepo.Mwanadamu asingeumbwa na nyeti, kusingekuwa na matatizo tuliyonayo duniani.
Kigamboni ChekaAaaah weee . Sio kweli.
Baby nimekumiss ujueAnasingizia huyo
Kasie umewaza Nini Hadi uncomment hivi πππMwanadamu asingeumbwa na nyeti, kusingekuwa na matatizo tuliyonayo duniani.
Hiyo inaitwa The Gods must be CrazyInashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa.
Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na anagongwa kana kwamba sio mchumba wa mtu.
Hii inashangaza sana.