Akina Mama na akina dada, dudu za wenza wenu zikigoma kusimama msiwadhihaki muwabembeleze

Hii ni kweli Mtibeli, mtindo wa maisha yetu umekuwa changamoto lakini pia cha kuongeza mwanaume kuwa na mahusiano mengine nje ya mwenza hupunguza hisia za mke/mwenza wake wa ndani.
 
Unajua hili ni tatizo la kisaikolojia na linaathili wanaume karibu 80%. Lile tendo linahitaji ushirikiano wa mwanamke sana.
Mkuu hoja ya chakula haipaswi kuupuzwa lakini pia mazoezi na kulala/kupumzika ni hoja za msingi sana. Hivyo vitu vyote vinakwenda pamoja. Chakula+ mazoezi+kupumzika.
 
Huwajui wanawake vizuri. Bado upo mtoto. Maana wapo tofauti sana na wala kupampu kama ujaza upepo baiskeli sio suluhu.Wengine ukimuandaa vizuri ukipiga tako nne tu unaona maji na anakukumbatia.

Mkuu hapa Mimi najadili kuhusu uume kwa nini ulale. Kujua wanawake ni mada nyingine Kabisa.

Ila uume kusimama hakuna mbadala

Kuna mzee wangu mmoja aliwahi niusia nijitahidi nikioa mke wangu aisle Sana maharage. Sasa comment yako inanirejesha kwenye wosia wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…