Na sisi tufunge zetu ndoa kama Akothee au lengo lingine tu uzi wa Rikiboy? 🤪Vp jimbo liko wazi tusogee mama mtu?
SawaAna thamani kwa aliyemzalisha sio mimi
Ana two kidsHuyo mwanaume nae ana watoto wangapi??
Wanaume wabinafsi sana hasa hapa kwetu mwisho wengi huishia.kunyanyasika otherwise upate muelewa au uwe na kipato...
Hahaaaaa kabisaaNdoa ishafungwa we utabaki na yao
Humu kuna waganga njaa wenye watoto wasiokuwa na matunzo ya baba zao.Kkwaiyo Jf mashangazi yake yana hela , tupambanie makombe